MKE ASIYE TII ANAFAA ADHABU GANI?

MKE ASIYE TII ANAFAA ADHABU GANI?

mkubhi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
2,216
Reaction score
3,319
Waku habari ya kutwa?

Hivi inapotokea mke yupo tyr kukanusha kila jambo unalomlishauli na kwenda mbali zaidi kufikia hatua ya kukuchonganisha nje na majirani kwa ya mashauli uliyompa dhidi ya majirani haohao!

mke wa hivi anapaswa adhabu gani kwa hali kama hizi?
 
achana nae fanya insure zingine
 
Yaani hata hili la kuomba ushauri kweli,Naomba namba ya huyo bibie nimfundishe jinsi ya kuishi na mume.
 
Mpende zaidi naye atakuheshimu. Ndiyo sheria ya Mungu. Mpende atakuheshimu.
 
Naomba namba za simu yake mm nimkanye
atanisikia tu
wiki namrudisha atakuwa kajirekebisha
 
Waku habari ya kutwa?

Hivi inapotokea mke yupo tyr kukanusha kila jambo unalomlishauli na kwenda mbali zaidi kufikia hatua ya kukuchonganisha nje na majirani kwa ya mashauli uliyompa dhidi ya majirani haohao!

mke wa hivi anapaswa adhabu gani kwa hali kama hizi?
Mpige ukuni tuu mpaka anyooke akishtuka anaona manyoya blalifuu Zake Mijitu mijinga Sana
 
Back
Top Bottom