katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Wadau humu.
Nimeonelea umekuwa nusu mwaka na pia kuna baadhi ya watu wanaroho ya huruma.
Kuna watoto wapo mitaani wanakosa vitu muhimu hii mnachukuliaje?
Mf. Chakula Malazi Mavazi Elimu na Walezi .
Au unakumta mtoto anawazazi ila hao wazazi wake hawana uwezo
Unakuta mtoto baba ni tajiri sana ila anamama wakambo anamtumikisha nakumfanya akose mambo muhimu nyie kama wazazi au walezi mnalionaje hili?
Na mnalichukuliaje hii hali?
Shule na vyoo bado havitoshi kwa wanafunzi na waalimu waalimu wamekosa mahali pakuishi.
Waalimu wamekosa vyoo vyakutumia je kwa mpango huu elimu Tanzania inawezekana?
Mtalitatuaje kama wazazi?