Weekend Mood: Machimbo

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,255
2,073
WOTE MTABAKI KUWA JUU JUUU MAWINGUNI (Liquid voice)
Wakuu wenye mji wenu hapa downtown kwa Mkuu anayechapa kazi kuliko wakuu wote nchini na Afrika mashariki nzima.
Leo natoka home sasa hivi kwenda kitaa kumalizia weekend yangu. Sasa tuambizane angle gani itapendeza kuipitia kwa sasa mpaka majogoo. Sehemu zenye watoto wakali ambao watafanya tuanze kazi kesho tukiwa na nguvu mpya.
Nawasilisha
 
Muhimbili wodi ya wazazi kuna watoto wakali, ukienda kukesha huko asubuhi utaamka na nguvu mpya.

Ila unaweza ukaanza na mwananyamala, halafu ilala kisha umalizie na muhimbili.

Kila la kheri.
 
Leo jumapili ujue kutukanana sio vizuri. . shida ni pale mtu anapolazimisha umtukane
 
Muhimbili wodi ya wazazi kuna watoto wakali, ukienda kukesha huko asubuhi utaamka na nguvu mpya.

Ila unaweza ukaanza na mwananyamala, halafu ilala kisha umalizie na muhimbili.

Kila la kheri.
Bibi kwani hujameza dawa zako leo?
 
WOTE MTABAKI KUWA JUU JUUU MAWINGUNI (Liquid voice)
Wakuu wenye mji wenu hapa downtown kwa Mkuu anayechapa kazi kuliko wakuu wote nchini na Afrika mashariki nzima.
Leo natoka home sasa hivi kwenda kitaa kumalizia weekend yangu. Sasa tuambizane angle gani itapendeza kuipitia kwa sasa mpaka majogoo. Sehemu zenye watoto wakali ambao watafanya tuanze kazi kesho tukiwa na nguvu mpya.
Nawasilisha

Njoo ibungu bar mabibo mwisho mkuu!!
 
Back
Top Bottom