harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,898
Habari za mda huu wana jf!
Imekua ni kawaida kwa wanaume wa dar kuoa mikoani au wanawake Wa mikoani kuolewa dar!
Lakini hli la wanawake Wa dar kuolewa mikoan sio sana tena teknologia inavyozidi kukua ndio kabisa akuna mwanaume anaetaka kumsikia mwanamke wa dar kua mkewe.
Na Mara nyingi ikitokea lazima wote wawe wanaishi dar na sio mkoa aliotokea mwanaume japo Mara chache hutokea wakaishi atokako mwanaume!
Mikoani tunamin wanawake Wa dar sio watu wakujishuhulisha labda awe mwajiriwa,ni wavivu,uswahili uswahili mwingi
Na kama kwao mambo safi AF aliko olewa ni 'tia maji tia maji' basi ujue wezekano Wa ndugu wa mwanaume kuzisoma Namba za kirumi upo wazi(sio kwa wote) ni baadh tu!
Sasa wakuu naombeni kujua kama yupo mwanaume wa mkoan aliebahatika kuoa mkoa Wa dar na jirani yake pwani na wakaenda nao makwao na maisha yakaendelea bila mushkeli wowote!
Na kwa wale wanaume wa dar/pwani watuambie ni kwa nn wengi wenu mnakimbilia mikoan kuoa huku mkiwaacha Dada zenu wakitesekea kwenye vigodoro/kanga moko na kwenye madanguro nk?
Na nyie wanawake Wa dar mbadilike sio lazima kila skendo hianzie kwenu
Sio lazima tabia zote chafu zianzie kwenu
AF ile tabia yenu mkija mikoani Mnapapondea huku mkiisifu dar kwa kila kitu ITAWAKOST!
Badilikeni ili na sisi wanaume Wa mikoani tuwafikirie kwenye falme zetu!
Nawakilisha!