Mara kwa mara nikuwa nikisikia kuwa ngono hizi zinazofanywa kabla ya ndoa ndio zinachangia kufanya ndoa nyingi zisidumu.
Nimewahi kusikia hivyo kwenye semina za vijana miaka ya nyuma kidogo...
Aslaam Aleikyum wadau wa MMU hopefully mko njema,
Leo nimeamua ku'share nanyi Mangendembwee yaliyonikutaga back in the days.
Naam here we go,Picha linaanza Bi'mkubwa katugea taarifa kuwa kesho...
Wadau Jumatatu nilimtembelea mchumba wangu kwake sasa wakati tunapiga stori za hapa na pale tukapishana kidogo akanitukana nikampiga kibao kimoja.
Kwa kweli alilia sana mpaka akawa anakimbilia...
inasemekana kuwa watu wapendao miziki ya taratibu(blues) na ya kihindi na kikorea pia wanahisia kubwa za mapenzi na wanamapenzi ya kweli kuliko watu wasiopenda aina ya miziki hiyo tajwa. Je kuna...
Habari ya duniani saiv na wanawake kuvaa nguo za kiume jamani hii inatisha sana suruali na T-shirt form six ,[emoji153] plane Raba simple wanavaa sasa sisi wanaume tuvae nn labda maana saiv...
Wakuu mimi nina karama, nataka niifanyie kazi ipasavyo.
Karama yenyewe niya kukosoa jamii, hususani mambo yanayohusu hili jukwaa letu pendwa kabisa.
Ladies wote nawapenda sana,
Napenda bongo...
Siku hizi watoto wa mjini wameibuka wamevamia nguo za wanaume kwa Kasi
Walianza t shirt za kiume
Wametengenezewa suruali za jeans wanavaa
Sasa hivi wameamia kwenye raba zetu.wamezigeuza mitoko...
Ukiwa na umri kuanzia miaka 36 na kuendelea na kama una mtoto/ watoto tayari au huna, huwa mara nyingi na kwa walio wengi mwili unahitaji kipozeo cha permanent, msione watu wanahangaika kuachana...
Wanawake wengi ambao wanaishi Gongo la Mboto (Masister duh) ukiwauliza wanakaa wapi watakujibu wanakaa "Airport"
Sasa huwa najiuliza, wewe unakaa Gongo la Mboto kabisa tena ukifika Gongo la Mboto...
Nilikuwa natoka kanisani maeneo ya kuelekea home so mbele ya mianzinia Arusha.
Kidaladala kikasimama nini watu wamejaa mwanaume kajiremba kama mwanamke anadaiwa arudishe hela kwa maana kashindwa...
Machalii wa humu Eroo Suphai, Ma mamiloo Takwenyaa,,
Okay ngoja nichumpe mokomoko kwenye point, Nna kaka angu nnaemfata kabisa yeye ni wa pili kutoka mwisho kuzaliwa uku mimi nikiwa ndo wa...
Ni mwendo wa code tu..!!Kuna hawa ndugu zetu Hawa ambao sitawataja.Wenyewe buana wanashangaza ukiwaambia ukweli wanaona uwongo..wanapenda Sana uwaambie uwongo ishi nao kwa uongo maana hamna namna...
Wadau humu.
Nimeonelea umekuwa nusu mwaka na pia kuna baadhi ya watu wanaroho ya huruma.
Kuna watoto wapo mitaani wanakosa vitu muhimu hii mnachukuliaje?
Mf. Chakula Malazi Mavazi Elimu na Walezi...
ILI KUMTEKA MUMEO FANYA HAYA
1. Muite kwa jina lake la utani, jina lile analolipenda sana.
2. Muache atumie mamlaka yake kama
kichwa cha nyumba.
3. Usimcheke akiwa ameumizwa na
jambo fulani...
Habari wakuu....
Jamani mimi huku nyumba imewaka moto, Moja haikai mbili haisogei mama watoto hanielewi.
Iko hivi
This weekend nilitoka kwenda somewhere kwenye mizunguko yangu hapa mjini...
Habar zenu wana jf
Wacha niende direct katika hizi situation mbili (2) ilitokea kwenye mahusiano yako itakuumiza sana?? Na hapo ulikuwa unampenda sana.
1. Mpenz wako kukusaliti/kukuacha
2.Mpenz...
Habari za mda huu wana jf!
Imekua ni kawaida kwa wanaume wa dar kuoa mikoani au wanawake Wa mikoani kuolewa dar!
Lakini hli la wanawake Wa dar kuolewa mikoan sio sana tena teknologia inavyozidi...
Umoufia kwenu!
Wakuu nina shida ya kifedha na nimekwama kabisa kupata fedha kutoka vyanzo vingine ingawa nina uhakika 101% kwamba mchepuko wangu ana uwezo wa kunikopesha kiasi cha fedha (Tsh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.