Kila tukigombana ananiblock WhatsApp

Kila tukigombana ananiblock WhatsApp

Mgegedo

Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
91
Reaction score
89
Nina girlfriend wangu ambaye kila tukigombana zikipita siku tatu au nne sijamsemesha ananiblock Whatssap na tukishaelewana ana unblock.

Nikimuuliza kwanini anapenda kuniblock kila tukikosana anasema kwamba huwa anaumia akiniona especially my dp ndomana anaona bora aniblock kwa muda huo ili nafsi yake itulie.

Je ni kwamba anamapenzi ya dhati na mimi au ananiektia ?

Je mtu anapokublock badala ya kufuta namba yako mazima ili hata kwenye whatssap isionekane huwa anamaanisha nini ?

Karibuni tupeane experience wataalamu wa mambo ya mapenzi
 
We can never know kama anakupenda kweli au ndo acting, just by that little piece of information...

Ila that's an attention seeking behavior
 
Mi naon ni utoto tu huo ni sawa na x wang yy huniblock n kuunblock kisha kuweka vistatus vya kijinga zile nmekumiss n hiv vile ....
 
narlyfive-20180609-0001.jpg
 
Haya mapenzi yenu ya siku hizi ni shida sana. Bora mapenzi yetu ya kizamani hakuna whatsapp wala simu ya mkononi. Babu Asprin atakubaliana na mimi..
 
Anajiona mzuri, anapendwa na wengi na pia anajua unampenda pia.
 
Kudate na vitoto kazi kweli, mwengine mkikosana anahamidhia ugomvi kwenye Whatsapp status... mimi huwa namute status zao wanabaki kuuliza ww huangaliagi status eeeh! Sina huo muda ndio jibu
 
Back
Top Bottom