Kama hayakuumizi

Kama hayakuumizi

Kama ni hivyo basi mi ni principal [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kutoumia sababu ya mapenzi si sababu ya kukufanya uwe ama uonekane malaya...

Kuumizwa na jambo kunatokana na hali ya akili yako ulivyoiweka/ulivyoiandaa kupokea jambo hilo...
Jinsi akili yake utakavyoiweka ndivyo itakavyokuweka/itakavyokufanya uonekane vipi mbele za watu pale unapoumizwa na jambo fulani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom