milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 633
muda huu napost hapa nimeachwa na aliyekua girlfriend wangu tuliyedumu kwenye mahusiano zaidi ya mwaka sasa.
Ningejua ningelala mapema tu huenda nisingeachwa usiku huu.
kisa cha kuniacha ni haya mapenzi ya umbali mrefu yaani long distance relationship. sasa nadhani huko amepata kijana anamtreat vizuri basi mm nikasahaulika. Hatujagombana wala nini ila ameamua kuniacha eti anaona hana chembe chembe tena za mapenzi.
nimeumia kidogo......nishaachwa mara nyingi kwa hyo nishazoea maumivu ya kuachwa ndio maana sijaumia sana.
kesho naamka nikiwa singo. yote maisha