Hivi wadada wanachambaje na mikucha hiyo bandia

Hivi wadada wanachambaje na mikucha hiyo bandia

Maelau

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,365
Reaction score
1,343
Wadau, kutokana na suala zima la usafi nimejiuliza sana juu ya umuhimu wa kuwa na kucha ndeeeeeefu kama mwanasesere. Hawa akina dada wanachambaje?

Na wanajikinga vipi dhidi ya bakteria wanaoweza kukwama ndani ya kucha hasa hasa ukichukulia kwamba si utamaduni wa watu wengi kunawa mikono kwa sabuni watokapo toilet.

Binafsi demu wangu akiwa na mikucha mirefu huwa nampa red card hapohapo. Wewe unasemaje
 
[emoji13][emoji13][emoji13]
IMG_20190502_161207_064.JPG
 
Siwezi kwa sababu tatu. Kwanza kuna uwezekano wa kupata jeraha panapo mahala. Pili, sina uhakika kama nitaweza kuchamba kwa uhakika. Tatu, kuna hatari ya uchafu kubaki kwenye kucha.
Lilishajadiliwa humu, madhara yake yakasemwa humu, ukimpata wa aina hiyo ukakerwa maana yake sio type yako piga chini tafuta type yako!!

Miongoni mwa vitu vigumu kumbadilisha mwanamke ni aina ya mapambo ayapendayo kuyaacha

Nb; sifugi wala kubandika kucha
 
Back
Top Bottom