Kesho naenda ukweni kutambulishwa

Kesho naenda ukweni kutambulishwa

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Wazee ushaurini wenu kesho naenda kutambulishwa ukweni kwa mara ya kwanza kabisa.
Nipeni ushauri hapa.

Nivae Tisheti ya NMB au CRDB?
 
Wazee ushaurini wenu kesho naenda kutambulishwa ukweni kwa mara ya kwanza kabisa.
Nipeni ushauri hapa.

Nivae Tisheti ya NMB au CRDB?
Doooh haya bana
Screenshot_20190503-204723.jpeg
 
Sijui tufanyaje kuinusuru JF.

Inabidi tuitishe kikao kwa wana JF tujadilini kuhusu haya yanayoendelea.
 
Back
Top Bottom