Mwanzo nilikuwa nampenda sana na hata sasa lengo ni kumuoa tatzo kwa sasa hisia za mapenzi kwake hazipo tenaSijajua kama umechepuka na kuonja ladha nyingine..hivyo kutokua na hisia na huyo binti…??
did you find her attractive at first?? au ulikua unataka kupita tu? and now you are feeling guilty as ameweka feelings zake kwako and you are not...
sidhani kama imetokea tu kukosa hamu nae...funguka tukusaidie..
Mwanzo nilikuwa nampenda sana na hata sasa lengo ni kumuoa tatzo kwa sasa hisia za mapenzi kwake hazipo tena
Mwanzo nilikuwa nampenda sana na hata sasa lengo ni kumuoa tatzo kwa sasa hisia za mapenzi kwake hazipo tena
Je wewe unampenda?Habari ndugu zangu msaada wenu ni mhimu kwangu npo kwenye mahusiano ya mapenzi na binti mmoja mwaka wa tatu sasa na nyumbani wanamfaham wanasubiri nikamilishe hatua chache niweze kumuoa ila changamoto inaanza baada ya siku za hivi karibuni kukosa hisia za mapenzi(tendo la ndoa) hii hali inafanya nione kama namnyanyasa hivo nakua na hatia kwani ananipenda sana pia ndugu zangu wanampenda mno msaada wenu ndugu niweze kunusuru mahusiano yangu NAANGUKIA PUA wapendwa niokoeni ahsanten....
Jini mahaba kapitaUnaishi nae?????
Kuna kitu kimetokea hapo kati mkuu mpaka kikabadilisha upendo wako kwake……
Kama mmefanya sex kama chakula yani asubuhi,mchana na usiku obviously lazima itokee hiyo hali kwa upande mmoja wapo ama nyote
Cha kufanya punguzeni ratiba za kusex.
Mwanzo nilikuwa nampenda sana na hata sasa lengo ni kumuoa tatzo kwa sasa hisia za mapenzi kwake hazipo tena
Habari ndugu zangu msaada wenu ni mhimu kwangu npo kwenye mahusiano ya mapenzi na binti mmoja mwaka wa tatu sasa na nyumbani wanamfaham wanasubiri nikamilishe hatua chache niweze kumuoa ila changamoto inaanza baada ya siku za hivi karibuni kukosa hisia za mapenzi(tendo la ndoa) hii hali inafanya nione kama namnyanyasa hivo nakua na hatia kwani ananipenda sana pia ndugu zangu wanampenda mno msaada wenu ndugu niweze kunusuru mahusiano yangu NAANGUKIA PUA wapendwa niokoeni ahsanten....