Hawa mabinti wa uswazi tabu sana jamani

Twinawe

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
2,353
5,077
Juzi nilikutana na binti mrembo maeneo ya rangi3 akanipa namba leo Ndo tulipanga kukutana katika restaurant moja apa rangi3 inaitwa taweed restaurant.

Mda wa kukutana ulipofika nikajongea cha kushangaza naona mtu anakuja na watu wake watatu kisaikolojia ukiwaangalia wamekuja kimaangamizi washamba,wachafu,mtu hata sikumtongoza washaanza kuniita shemeji mda wote wanajichekesha maskini walikuja kunikomoa kumbe mwanaume nimewanunulia vitu na ushamba wao wamekula maskin vingine wamebeba wakaondoka mmoja mmoja ndo nikabaki na rafiki yao.

Kiukweli yule binti nilimwona classic ila kwa tabia walizoonyesha marafiki zake hafai hata kupata salamu yangu siwezi kua na mashemeji of that kind sitorudia tena kutongoza uswazi nabaki na mboga saba wangu nikirudi kwangu changombe.
 
Nimezaliwa uswazi ila mda wangu mwingi nimekua shule na vyuoni ko sijajchanga nao sana na likizo nyingi wakati nasoma nilikua naenda zangu bukoba au moshi nimeanza maisha yangu siishi uswazi napitaga tu
Kwahyo hukujua kama uswazi njaa Kali sometimes madada wanashindwa hata kununua peddy?
 
Dah tubinti tumenishangaza sana nilikua namwomba mungu nisije nikakutwa na yyt anayenifahamu ilikua kama nafanya child support hawana hadhi ya kuniita shemeji

Walikua wanaagiza vitu wanakula kdg wanajaza kwenye Rambo mpaka nikawa naona aibu Mimi mwenzao wala hashtuki
Kwahyo hukujua kama uswazi njaa Kali sometimes msaada wabashindea hata kununua peddy?
 
Dah tubinti tumenishangaza sana nilikua namwomba mungu nisije nikakutwa na yyt anayenifahamu ilikua kama nafanya child support hawana hadhi ya kuniita shemeji

Walikua wanaagiza vitu wanakula kdg wanajaza kwenye Rambo mpaka nikawa naona aibu Mimi mwenzao wala hashtuki
Hatari sana aisee Mimi japo nipo uswazi ila mawindo yangu ni kishua
Labda na waarabu akiwa uswahili namshobokea kidogo
 
Jana tu niliambiwa simu yangu inazima afu luku imeisha na zamu yangu kununua
Yani ukikapa 5000 kinajua ndio umefika kweliiii yani et bado tunaimani mapenzi ni pesa
Ukikosa hela ujue umekosa vyote hadi akili yani
 
Aliniuliza unafanya kazi wapi nkasema sina akauliza umepanga au kwenu nkasema kwa Shangazi akasema sa utaweza kunihudumia?nakamuuliza unataka nyumba gari au kitu akasema nikiwa na shida na vocha na ham ya chips nkamwambia usijal
Yani ukikapa 5000 kinajua ndio umefika kweliiii yani et bado tunaimani mapenzi ni pesa
Ukikosa hela ujue umekosa vyote hadi akili yani
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom