Wanaume tutafakari neno hili kwenye mahusiano yetu

Mambo ya Mungu

Senior Member
Joined
May 6, 2019
Posts
106
Reaction score
90
Habar za asubuh wapendwa. Mi sio mwenyeji kwenye hili janvi ila nimekuwa msomaji mzuri wa post na comments za wadau. Nimeona kwa kipindi kirefu watu wanasifia sana zinaa nikataka kujua kupitia maandiko matakatifu kwann huwa tunakuwa hatujielewi wakati wa ngino, kuna neno moja nimekutana nalo nikashtuka sana ni Mithali. 6:32 &33. Nikajua kumbe ujinga na matatizo yanatokana na hii kitu pendwa ni kwa sababu Mungu alishaahidi hivyo. Unakuta mrembo hata aombe dunia wakati ule mwanaume anaweza muahidi haina tabu dunia tu hata ungetaka na mbingu mi ntaongea nae mmiliki niko nae peace unapata tena kiulaini we tumailize kwanza.
 
Duu kweli mambo ni mengi muda mchache

Wale mnaojisifia ujinga basi muanzie mstari wa 28.
 
ile kitu achana nayo sijui huwa tunazuzukanini wakati tuna cheza ule mchezo wa GWAJIMA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom