katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Mambo zenu.
Unajua nimekaa nikawaza sana kwanini yanatokea haya unajenga feelings kwa mtu hamjaonana na kweli unamadai kuwa unamwanaume ukiulizwa umewahi muona nope .
Ila tunachatigi how jamani acheni kupotezeana muda.
Unakuta mtu kapenda picha zako kwenye mitandao ya kijamii at the end of everything unakuta unaamini kuwa iko siku utamwona na kuwa naye.
Hujali hata anamke au anademu wewe kukaa nakumuota tu.
Asilimia kubwa huyo mtu kama hayupo karibu yako ni ngumu mtu akate tiketi aje kukuona mtu asiyemjua.
1.Labda kaishiwa mademu
2.Labda naye anataka kuwa na urafiki wa far ila kweli sioni kama unaweka akilini kila kitu anachosema kuwa atakufanya atafanya.
3.Kila mara nahisi kama kunaupotezaji wa muda eti mwanaume kakuziria eti unalia na kumuwaza ukiulizwa eti john .
John mwenyewe ni video calls tu.
Kweliiii.
Je na nyie mnalionaje hili kwa sababu mimi naona kama hizo ni waste of time kudeal na mapenzi ambayo ni kapa.
Hunawahi kumuona mtu halafu eti uko interested???
Inakuja kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app