ati!!!!Sio lazima wote muote ndogo usiku wa manane wengine huota asubuhi kumekucha, lakini zote ni ndoto tu.
I mean 'NDOTO'ati!!!!
mawasiliano ya mambo muhimu....vitu gani unavikosa?
if nothing goes left, go rightmawasiliano ya mambo muhimu....
tehe tehe tehe tehe ahsante Superb2014Inapendeza zaidi, pole kwa yaliyo kukuta.
Pole sana[emoji23] [emoji23]Nimegundua kuwa ni vizuri ukiwa na mpenzi wa imani yako.
Yamenikuta!!! Mwezi mmoja nauona kama miaka 100.
Sasa nimeelewa!kafunga!
Hahaha pole, mwezi mzma sio poa ila mpe nafasi afanye mambo mengine, the same to you,kafunga!