Wadau bila shaka hamjambo !
Kitaaluma mimi ni mwanasaikolojia (Degree) jina langu sio kubwa sana kwa maana ya kujulikana kwa watu wengi licha ya kufanya kazi hii kwa miaka 3 sasa.
Tatizo kubwa...
Umemzalisha mpangaji wako mtoto mmoja au wawili,na baada ya kumzalisha ukaamua kumsamehe kodi ya nyumba akawa anaishi tu bure,je ikitokea mzalishaji umevuta pumzi ya mwisho, mzalishwaji atakuwa na...
Habari wanajf na heri ya pasaka.
Niende kwenye lengo la uzi...mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miezi 7 nina miaka 26. Miezi 3 iliyopita nilitengena na mzazi mwenzangu ambaye alishanitolea mahari...
Kama Mada inavyojieleza
Kuna binti alikua anadate na kakangu miaka ya 2003 mpaka kwenye 2006 hivi. Ina maana huyu binti alikua shemeji yangu na alitakiwa anitambue kama Mimi ni shemeji yake...
Inaumiza na kufunza.
Nmekopy kwenye group moja la WhatsApp
“Baba Karanga za Diamond! Baba nataka Karanga za Diamond!” Huu ni ule wakati ambao unasimama kwenye foleni na unatamani hata...
kikubwa siyo watu wote wanafaa kuwa marafiki hasa hasa unaodhania ama kuwachukulia kuwa ni watu wenye kujua maana ya maisha!! kikubwa siyo watu wote wnafaa kuwa marafiki wengine ni wanafiki na...
Habari wakuu?naenda moja kwa moja kwenye mada.
Miaka 15 ijayo kuwa mke mwenza itakuwa kawaida sana,kwani wanawake wanazaliwa kwa wingi sana.
Kwa kila familia sasa utakuta wanawake idadi yao ni...
Amekukumbuka sana ila hatakutafuta tena. Kwa muda mrefu sasa amejitahidi mno kuonesha mapenzi kwako ili kukufurahisha. Kwa muda mrefu sana amekuwa akitenga muda wake kukumbuka na kukujali.
.
Kwa...
Naitwa ABEL...age 21.....
Nilikuwa na urafiki na binti ambaye ni jirani yetu..kwani wazazi wetu walikuwa marafiki wakubwa hadi kufikia stage ya kuombana chumvi,..Nk. Urafiki wetu uli ibua hisia...
1,Hawapendi kuambatana na mpenzi au mke mitaani hasa muda wa mchana na huku wameshikana mikono. Na sisi wanawake tunapenda mapenzi ya hadharani,mshikane mikono ili mwanamke aonekane yeye ndo...
Ukiona mama yako bado yupo hai shukuru sana mungu wapo wanamlilia mama lakini hawamuoni
Ni rafiki yangu na jirani yangu ambaye alipoteza mama akiwa mdogo, std 7 kipindi hicho,baada ya mama yake...
Kutoka enzi za adam na Hawa mpaka sasa kinamama wamefanya kazi kubwa sana, kazi yao kubwa na njema inaonekana miongoni mwetu tunaoishi sasa hivi na hata walioondoka juu ya uso wa dunia.
Ni...
Katika miaka ya karibuni kumekuwa na upungufu mkubwa wa wanawake wazuri. Kwa sura, shape au mwonekano hasa mijini.
Pengine hii inatokana na mabadiliko ya tabia ya nchi na ukweli kwamba watu siku...
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu na kwa sauti kubwa bila majibu yoyote. Hivi kuhondomola ni hitaji muhimu la binadamu au watu tunajiendekeza tu? Kwani ku-du ni lazima?
Nauliza hivi...
MTOTO AUWAWA BAADA YA KUUZWA
NA BABAYAKE MZAZI MKOAN MBEYA.
_____________________________________
Jeshi la polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili waliofahamika kwa majina ya 1.Japhet...
Wadau eti wanasema humu mimi katoto kazuri nawadharau watu wazima.
Sasa mpaka miaka mingapi humu wapo watu wazima wanaodai wanadharauliwa?
Nautadharauliwaje kama nawewe kichwa hakisomi...
Salaam wakuu, habari za jioni.
Nimekaa nikatafakari nikaona nilete kisa changu hapa jukwaani ili tuwe makini na binadamu, japo mimi nimebaki sina mtoto tena, itawafaa hata wazazi wengine wenye...
Habari zenu wana jf
Leo nimeamua kushare na nyie kitu nilichofanyia utafiti kwa muda mrefu.
kitu chenyewe ni kuhusu wanawake wengi wa kihindi kuto kata vuzi,kwanza nilitembelea website kadhaa za...
Kufuatia suala la nguvu za kiume kuwa jambo kubwa hadi kutinga mjengoni kwa waheshimiwa, pia vyombo mbalimbali duniani vya habari yakiwemo mashirika ya BBC na DEUTSCHE WELLE yanaripoti kuwa...