Yapasa mke awe 'submissive' vinginevyo hakuna ndoa

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,208
Katika miaka ya karibuni kumekuwa na upungufu mkubwa wa wanawake wazuri. Kwa sura, shape au mwonekano hasa mijini.

Pengine hii inatokana na mabadiliko ya tabia ya nchi na ukweli kwamba watu siku hizi hawapati lishe bora kama walivyopata wazee wetu.

Kupungua kwa idadi ya wanawake wazuri hasa katika jiji la Dar Es Salaam kumeendana pia na ongezeko la wanawake wenye viburi, lugha mbaya, wabishi, wagomvi na kwa ujumla washamba wa mahba.

Lugha mbaya inamfukuza mume nyumbani. Kiburi kinamkosesha mke zawadi. Gubu linamfanya mume ajifunze kwenda baa hata kama hiyo sio style yake.

Tabia ya kumchunga sana mumeo na kushindana nae kila mara huichimbia ndoa kaburini kama unaitaka ndoa yako basi usimjibu vibaya mumeo hasa mbele za watu na hasa rafiki zake.

Mpokee mumeo akirudi kazini hata kama umetingwa kiasi gani. Usimtume house girl kumpokea mzigo mumeo. Ni kosa la kiufundi.

Mwite mumeo kwa jina lake la kwanza. Usimwite 'wee' au 'huyu'... Sio sahiii. Na mume vilevile usimwite mkeo wewe au huyu!!

Ndoa inastawi au kubomoka kwa vitu vidogo sana. Yanasema maandiko kwa mujibu wa Paulo: "Enyi wake watiini waume zenu. Nanyi wanaume wapendeni wake zenu"

Kuna amri kuu mbili za kuzingatia ili ndoa idumu.
Kwanza, ni lazima mke amheshimu na kumtii mumewe.

Pili ni wajibu wa mume kumtunza na kumthamini mkewe kwa kila hali. NB: kulingana na uwezo wa mwanaume husika ni busara pia kwa mwanamke kuridhika na hali ya kiuchumi ya mumewe.

Mke akiwa na tamaa ni chanzo cha mifarakano katika ndoa. Kama huwezi kuvumilia hali yake ni bora muachane kuliko kumpa stress kila siku kaka wa watu.

Najua siku hizi wanawake wengi wana vipato vikubwa na wengine hiyo huwa sababu ya kuwadharau au kutaka kushindana na waume zao ukweli mchungu ni kwamba kama unataka ndoa lazima uwe submissive kwa mumeo.

Kama kipato kinawazuzua na mnaona hamuwezi kumtii mume ni bora akina dada wa aina hii waishi peke yao.
 
Kweli kabisa
 
Ndoa ndio Shule ngumu Sana katika maisha kufaulu
Na ndio maana cheti unapewa kwanza halafu mitihani inafata "
Laiti Kama inaanza mitihani halafu vije vifate vyeti watu wengi sana wangefeli na Wengi wangetoroka Shule hii
Ndoa pekee ndio Shule ngumu kufaulu
Inahitaji uvumilivu wa pande zote mbili na si Kwa mwanamke tu
Tafakari chukua hatua
 
Ukishaona Mwanaume anamsukumia Mwanamke tatizo ujue huyo ni siyo ,,strong man” bali ni Mwanaume dhaifu au ,,beta man na siyo alpha man”.

Mwanaume ambaye ni Dume la Nyani au ,,alpha male” huwa anaheshimika siku zote na Mwanamke na haijalishi kama Mwanamke ana kipato kikubwa au la, hivyo shida ni wewe na siyo Mwanamke.

Hivyo ushauri wangu kwako ondoa udhaifu wako, kuwa ,,strong man” ukimaliza hapo ,,respect” itakuja tu.

Wanawake hawapendi ,,weak men” na hii ni Kibaolijia kwani wanahitaji Mwanaume wa kuweza kulea na kutunza mtot/Familia.

Hivyo acha kutafuta visingizio, ukiwa ,,alpha male” au Dume la Nyani hakuna shida ndoa itakuwepo na itadumu hata ukipenda milele, na Mwanamke atakuheshimu, heshima haiji hivi hivi ni lazima ipiganiwe pia by the way kuwa ,,strong man” maana yake siyo miguvu ya kupiga na kushindana na Mwanamke hapana, ,,strong man” ni kichwani, yaani unakuwa Kiongozi, Mwanamke anakufwata huku ukimuongoza, na unaweza kujifunza hili, naweza kukufundisha jinsi ya kuwa ,,strong man” kama ukipenda!
 
Kabisa, muda huo huo; mume anampenda mkewe kama Kristo alivyolipenda Kanisa lake. Mume mpende mkeo kama mwili wako mwenyewe. Mke asiposubmit basi atapata thawabu ya upumbavu wake
Sijabahatika kuona version yenu ya hii verse;Waume tuwapende wake zetu kama kristo alivyolipenda kanisa.Kwenye wake kuwatii waume sijaona reference ...
 
Waefeso 5:22-24

22. Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.

23. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.

24. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.
 
Ahsante sana.

Mistari hii na ule wa wanaume ikizingatiwa, kifo ndicho kitakachowatenganisha wawili hawa.
 
Kabisa, muda huo huo; mume anampenda mkewe kama Kristo alivyolipenda Kanisa lake. Mume mpende mkeo kama mwili wako mwenyewe. Mke asiposubmit basi atapata thawabu ya upumbavu wake
So asipokupenda hautasubmit ?
 
So asipokupenda hautasubmit ?
Depends so much na maarifa na ufahamu alionao mkeo, otherwise utaishia kucompromise submission ya mkeo, utachokwaaa. Nimeimagine hiyo ya kumuita mumeo majina mazuri, nikakumbuka nina ndugu yangu mume wake akiingia tu utasikia msonyo, sasa sijui hata nguvu za kumuita baby au kumwambia tu "karibu mume wangu" zinapatikana wapi. Na submission inakuwa stimulated sana na upendo, mume akikupenda unajikuta tu na wewe submission inazidi; his happiness is your happiness.

Wengine waniishia kuwa wanyonge/ waoga kutukana na wanayofanyiwa, badala ya kuwa submissive. Hivi kusubmit kwa mume anayekupiga au kukutukana na mitusi, mbona hiyo submission inakuwa kama ina na machozi nyuma yake? It's good mkeo asubmit kwako kwa furaha,
 
Unajua kujieleza,ila i think ur last sentence say it all
 
Ukishaona Mwanaume anamsukumia Mwanamke tatizo ujue huyo ni siyo ,,strong man” bali ni Mwanaume dhaifu au ,,beta man na siyo alpha man”.

Mwanaume ambaye ni Dume la Nyani au ,,alpha male” huwa anaheshimika siku zote na Mwanamke na haijalishi kama Mwanamke ana kipato kikubwa au la, hivyo shida ni wewe na siyo Mwanamke.

Hivyo ushauri wangu kwako ondoa udhaifu wako, kuwa ,,strong man” ukimaliza hapo ,,respect” itakuja tu.

Wanawake hawapendi ,,weak men” na hii ni Kibaolijia kwani wanahitaji Mwanaume wa kuweza kulea na kutunza mtoto wao.

Hivyo acha kutafuta visingizio, ukiwa ,,alpha male” au Dume la Nyani hakuna shida ndoa itakuwepo na itadumu hata ukipenda milele, na Mwanamke atakuheshimu, heshima haiji hivi hivi ni lazima ipiganiwe pia by the way kuwa ,,strong man” maana yake siyo miguvu ya kupiga na kushindana na Mwanamke hapana, ,,strong man” ni kichwani, yaani unakuwa Kiongozi, Mwanamke anakufwata huku ukimuongoza, na unaweza kujifunza hili, naweza kukufundisha jinsi ya kuwa ,,strong man” kama ukipenda!
fundisha mkuu ili siye ambao hatujaoa tujifunze
 
Hata akipigwa hana budi kuwa submissive.

Nilichojifunza ni kuwa, kama ambavyo upendo wa mme kwa mkewe unainduce submissive kutoka kwa mke, vivyo hivyo mke mnyenyekevu/mtii anamfanya mme ampende zaidi.Hata kama mme ni mkorofi, mkewe akimtii na kumnyenyekea baada ya mda mme atabadilika na kumpenda.

Pia hii reference ya kumpenda mke kama Yesu alivyolipenda kanisa, ukitafakari vitu alivyofanyiwa Yesu na bado akaendelea kutupenda, utaona kuwa hata mke awe wa ajabu kiasi gani tunapaswa kumpenda na kuwa tayari kufa kwa ajili yake ikibidi...
 
Katika miaka ya karibuni kumekuwa na upungufu mkubwa wa wanawake wazuri. Kwa sura, shape au mwonekano hasa mijini.

Pengine hii inatokana na mabadiliko ya tabia ya nchi na ukweli kwamba watu siku hizi hawapati lishe bora kama walivyopata wazee wetu.

Kupungua kwa idadi ya wanawake wazuri hasa katika jiji la Dar Es Salaam kumeendana pia na ongezeko la wanawake wenye viburi, lugha mbaya, wabishi, wagomvi na kwa ujumla washamba wa mahba.

Lugha mbaya inamfukuza mume nyumbani. Kiburi kinamkosesha mke zawadi. Gubu linamfanya mume ajifunze kwenda baa hata kama hiyo sio style yake.

Tabia ya kumchunga sana mumeo na kushindana nae kila mara huichimbia ndoa kaburini kama unaitaka ndoa yako basi usimjibu vibaya mumeo hasa mbele za watu na hasa rafiki zake.

Mpokee mumeo akirudi kazini hata kama umetingwa kiasi gani. Usimtume house girl kumpokea mzigo mumeo. Ni kosa la kiufundi.

Mwite mumeo kwa jina lake la kwanza. Usimwite 'wee' au 'huyu'... Sio sahiii. Na mume vilevile usimwite mkeo wewe au huyu!!

Ndoa inastawi au kubomoka kwa vitu vidogo sana. Yanasema maandiko kwa mujibu wa Paulo: "Enyi wake watiini waume zenu. Nanyi wanaume wapendeni wake zenu"

Kuna amri kuu mbili za kuzingatia ili ndoa idumu.
Kwanza, ni lazima mke amheshimu na kumtii mumewe.

Pili ni wajibu wa mume kumtunza na kumthamini mkewe kwa kila hali. NB: kulingana na uwezo wa mwanaume husika ni busara pia kwa mwanamke kuridhika na hali ya kiuchumi ya mumewe.

Mke akiwa na tamaa ni chanzo cha mifarakano katika ndoa. Kama huwezi kuvumilia hali yake ni bora muachane kuliko kumpa stress kila siku kaka wa watu.

Najua siku hizi wanawake wengi wana vipato vikubwa na wengine hiyo huwa sababu ya kuwadharau au kutaka kushindana na waume zao ukweli mchungu ni kwamba kama unataka ndoa lazima uwe submissive kwa mumeo.

Kama kipato kinawazuzua na mnaona hamuwezi kumtii mume ni bora akina dada wa aina hii waishi peke yao.

SUBMISSIVE | meaning in the Cambridge English Dictionary

submissive adjective UK /səbˈmɪs.ɪv/ US /səbˈmɪs.ɪv/

Meaning - allowing yourself to be controlled by other people or animals:

Submission in marriage is a spirit of respect a wife has towards her husband. It is an attitude intended to help her and her husband to live a contented, peaceful life together....... When a wife submits she is being a helper to her husband in the broad, biblical sense of that word.
 
Wanawake safari hii mtakoma!asubuhi hii tu huu uzi wa pili kama sio wa tatu nakutana nao ukiwafundisha jinsi ya kuishi kwenye ndoa.

Kuna sehemu pana tatizo jichunguzeni!
 
Nami pia nimekutana na nyuzi kama mbili ivi zinaongelea the same problem, this morning. Naona ndoa nyingi zinawaka moto. Kwa mtizamo wangu ndoa nyingi zipo ICU kwa sababu ya wanaume kushindwa kutimiza wajibu wa kifamilia na kuwa wakali kupita kiasi
 
Back
Top Bottom