When she says ENOUGH IS ENOUGH

When she says ENOUGH IS ENOUGH

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
Amekukumbuka sana ila hatakutafuta tena. Kwa muda mrefu sasa amejitahidi mno kuonesha mapenzi kwako ili kukufurahisha. Kwa muda mrefu sana amekuwa akitenga muda wake kukumbuka na kukujali.
.
Kwa muda mrefu sana amejitahidi kukuonesha kwamba anakufaa lakini alichoambulia ni maumivu. Hatimae moyo wake umechoka, hatakutafuta tena. Hatimae amejikuta hana ujasiri tena wa kukunyenyekea.
.
Hatimae amejiona hawezi tena kukupigania. Kila kosa ulilolifanya limemuweka katika mazingira ya kutokukuamini tena. Maumivu uliyomsababishia yamemfanya aamini wewe ni mbaya kwake.
.
Hivyo, usiamini kama atarudi tena. Usitegemee kabisa kuwa atarejea tena na kulilia kupendwa na wewe. Usitarajie atarudi ili azidi kuumia kila siku kama hapo awali.
.
Imemchukua muda wake mwingi kujiamini na kusema kwamba "imetosha sasa", imemchukua muda mrefu kuamini kuwa ataweza ku-move on. Lakini sasa amefanikiwa na hakika hatarudi tena nyuma.
.
Ndio. Itakuwa ni ngumu kwake kwakuwa ameshakuzoea. Itakuwa ngumu kuwa peke yake tena. Lakini bora awe peke yake kuliko kuwa na mtu ambaye hakuna uhakika wa kufika nae popote.
.
Ndio, itakuwa ni ngumu kumpenda mtu mwingine tena, lakini ni heri. Maana, atapenda tena pale atakapokuwa tayari kuliko aendelee kumpenda mtu anayemchukulia poa.

"Letting go doesn’t mean that you don’t care about someone anymore. It’s just realizing that the only person you really have control over is yourself."
FB_IMG_1557648044854.jpeg
 
Amekukumbuka sana ila hatakutafuta tena. Kwa muda mrefu sasa amejitahidi mno kuonesha mapenzi kwako ili kukufurahisha. Kwa muda mrefu sana amekuwa akitenga muda wake kukumbuka na kukujali.
.
Kwa muda mrefu sana amejitahidi kukuonesha kwamba anakufaa lakini alichoambulia ni maumivu. Hatimae moyo wake umechoka, hatakutafuta tena. Hatimae amejikuta hana ujasiri tena wa kukunyenyekea.
.
Hatimae amejiona hawezi tena kukupigania. Kila kosa ulilolifanya limemuweka katika mazingira ya kutokukuamini tena. Maumivu uliyomsababishia yamemfanya aamini wewe ni mbaya kwake.
.
Hivyo, usiamini kama atarudi tena. Usitegemee kabisa kuwa atarejea tena na kulilia kupendwa na wewe. Usitarajie atarudi ili azidi kuumia kila siku kama hapo awali.
.
Imemchukua muda wake mwingi kujiamini na kusema kwamba "imetosha sasa", imemchukua muda mrefu kuamini kuwa ataweza ku-move on. Lakini sasa amefanikiwa na hakika hatarudi tena nyuma.
.
Ndio. Itakuwa ni ngumu kwake kwakuwa ameshakuzoea. Itakuwa ngumu kuwa peke yake tena. Lakini bora awe peke yake kuliko kuwa na mtu ambaye hakuna uhakika wa kufika nae popote.
.
Ndio, itakuwa ni ngumu kumpenda mtu mwingine tena, lakini ni heri. Maana, atapenda tena pale atakapokuwa tayari kuliko aendelee kumpenda mtu anayemchukulia poa.

"Letting go doesn’t mean that you don’t care about someone anymore. It’s just realizing that the only person you really have control over is yourself." View attachment 1095670
really! me nikichoka kujipendekeza kwa mwanaume nikiacha nimeacha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom