Hawa ndo wanaume wachepukaji

Hawa ndo wanaume wachepukaji

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
1,Hawapendi kuambatana na mpenzi au mke mitaani hasa muda wa mchana na huku wameshikana mikono. Na sisi wanawake tunapenda mapenzi ya hadharani,mshikane mikono ili mwanamke aonekane yeye ndo anapendwa mbele ya jamii

2,Kwenda na mke au mpenzi kwenye kumbi za starehe,ni wachache sana,kati ya 10 ni wawili hukubali kuambatana na wapenzi wao kwenye hizo kumbi mara kwa mara,wengine kama amejitahidi sana ni mara mbili kwa mwaka,ile yeye mwenyewe kila weekend bar,casino

3,Kuweka picha ya mpenzi au ya mke wake kwenye dip kwenye mitandao ya kijamii,kama anakuweka anakuweka kwa wiki moja au siku mbili halafu anaitoa ,ila ya mtoto anaweza akaiweka mwaka mzima,ili akiulizwa una mke ajibu sina ila nina mtoto

4,Hawezi kuweka picha ya mke au mpenzi kwenye wallpaper sim yake, kuna siku nilimuona mkaka ameweka wallpaper picha ya mwanamke tulikuwa tumekaa sit moja kwenye daladala ghafla akaiondoa na Mimi nilkuwa nimeishaiona kitambo,hahahahhah,basi akawa anataka kuniongelesha bahati mbaya nikashuka

5,Sim inakuwa silence,huwezi ukajua kama meseji imeingia au amepigiwa sim,unaweza ukajiuliza huyu mwanaume hana mtu ambaye anampigia sim kumbe ameiweka silence

6,Wanajifanya wako bize na mambo mengine tofauti na mapenzi

7,Safari za mikoani ni nyingi kuliko maelezo,utasikia keshokutwa naenda kigoma,mtwara,Arusha,Moshi,wiki hii naenda mwanza kumuona rafiki tuliosoma naye ana michongo

Nilichowavulia kofia wanaume wanaweza kubalance mapenzi kwa wanawake zaid ya watatu na usijue,

Wanaume roho zao wanazijua wenyewe
 
1,Kuambatana na mpenzi au mke mitaani hasa muda wa mchana na huku wameshikana mikono. Na sisi wanawake tunapenda mapenzi ya hadharani,mshikane mikono ili mwanamke aonekane yeye ndo anapendwa mbele ya jamii

2,Kwenda na mke au mpenzi kwenye kumbi za starehe,ni wachache sana,kati ya 10 ni wawili hukubali kuambatana na wapenzi wao kwenye hizo kumbi mara kwa mara,wengine kama amejitahidi sana ni mara mbili kwa mwaka,ile yeye mwenyewe kila weekend bar,casino

3,Kuweka picha ya mpenzi au ya mke wake kwenye dip kwenye mitandao ya kijamii,kama anakuweka anakuweka kwa wiki moja au siku mbili halafu anaitoa ,ila ya mtoto anaweza akaiweka mwaka mzima,ili akiulizwa una mke ajibu sina ila nina mtoto

4,Hawezi kuweka picha ya mke au mpenzi kwenye wallpaper sim yake, kuna siku nilimuona mkaka ameweka wallpaper picha ya mwanamke tulikuwa tumekaa sit moja kwenye daladala ghafla akaiondoa na Mimi nilkuwa nimeishaiona kitambo,hahahahhah,basi akawa anataka kuniongelesha bahati mbaya nikashuka

5,Sim inakuwa silence,huwezi ukajua kama meseji imeingia au amepigiwa sim,unaweza ukajiuliza huyu mwanaume hana mtu ambaye anampigia sim kumbe ameiweka silence

6,Wanajifanya wako bize na mambo mengine tofauti na mapenzi

7,Safari za mikoani ni nyingi kuliko maelezo,utasikia keshokutwa naenda kigoma,mtwara,Arusha,Moshi,wiki hii naenda mwanza kumuona rafiki tuliosoma naye ana michongo

Nilichowavulia kofia wanaume wanaweza kubalance mapenzi kwa wanawake zaid ya watatu na usijue,

Wanaume roho zao wanazijua wenyewe
Hata wenye mwanamke mmoja wanafanya yote hayo dada
 
Hapi zamani hapakua na wachepukaji? Maana haya 93% unaongelea mambo yanayoendana na teknolojia ya sasa?
Katika miaka ya 1980's kurudi nyuma wachepukaji walikia na tabia gani?
 
Walikuwa wanaonyesha hadharani,na walikuwa wababe kwa wake zao,na mwanamke ukijua huwezi kuhoji
 
Jamani mimi wangu tunatembea pamoja mchana, sehemu za starehe tuko wote, picha dp ananiweka mpaka namwambia aitoe, simu yake haina password aisee na ananiruhusu kuishika muda wowote .Lakini bado siamini kama niko mwenyew , bado .
 
Nimeunga mkono yote ila ongezea haya
1 wana maneno matamu na mzuri ila sio ya kweli
2 simu yake password kila app..na kama atakuachia basi ujue namba wanayotumia na michepuko lain yake haiko kwenye cm
3 inbox na send SMS iwe kawaida au whatsap inasoma 0
4. Hawavaivai pete za ndoa wala uchimba kwa wenye imani ya kuvalishana pete
5.ILA HII NI KWA WOTE WANAUME NA WANAWAKE WENYE MICHEPUKO BACHELORS. KWA WENYE MICHEPUKO YENYE NDOA HAWANGA HIZO
1,Hawapendi kuambatana na mpenzi au mke mitaani hasa muda wa mchana na huku wameshikana mikono. Na sisi wanawake tunapenda mapenzi ya hadharani,mshikane mikono ili mwanamke aonekane yeye ndo anapendwa mbele ya jamii

2,Kwenda na mke au mpenzi kwenye kumbi za starehe,ni wachache sana,kati ya 10 ni wawili hukubali kuambatana na wapenzi wao kwenye hizo kumbi mara kwa mara,wengine kama amejitahidi sana ni mara mbili kwa mwaka,ile yeye mwenyewe kila weekend bar,casino

3,Kuweka picha ya mpenzi au ya mke wake kwenye dip kwenye mitandao ya kijamii,kama anakuweka anakuweka kwa wiki moja au siku mbili halafu anaitoa ,ila ya mtoto anaweza akaiweka mwaka mzima,ili akiulizwa una mke ajibu sina ila nina mtoto

4,Hawezi kuweka picha ya mke au mpenzi kwenye wallpaper sim yake, kuna siku nilimuona mkaka ameweka wallpaper picha ya mwanamke tulikuwa tumekaa sit moja kwenye daladala ghafla akaiondoa na Mimi nilkuwa nimeishaiona kitambo,hahahahhah,basi akawa anataka kuniongelesha bahati mbaya nikashuka

5,Sim inakuwa silence,huwezi ukajua kama meseji imeingia au amepigiwa sim,unaweza ukajiuliza huyu mwanaume hana mtu ambaye anampigia sim kumbe ameiweka silence

6,Wanajifanya wako bize na mambo mengine tofauti na mapenzi

7,Safari za mikoani ni nyingi kuliko maelezo,utasikia keshokutwa naenda kigoma,mtwara,Arusha,Moshi,wiki hii naenda mwanza kumuona rafiki tuliosoma naye ana michongo

Nilichowavulia kofia wanaume wanaweza kubalance mapenzi kwa wanawake zaid ya watatu na usijue,

Wanaume roho zao wanazijua wenyewe
 
Wanaume huwa tunajaribu tu kuwaomba Ke mbunye,ila huwa hatumaanishi japo mkitupa tunapiga mashine,sasa haya mengine msiyajadili sana yatawaumiza vichwa
 
Nchi yoyote ile lazima iwe na wenye mitazamo tofauti

Kwa hiyo ukikuta mmeo anachepuka gundu mtazamo wako umeshuka anatafuta mtazamo tofauti
 
1,Hawapendi kuambatana na mpenzi au mke mitaani hasa muda wa mchana na huku wameshikana mikono. Na sisi wanawake tunapenda mapenzi ya hadharani,mshikane mikono ili mwanamke aonekane yeye ndo anapendwa mbele ya jamii

2,Kwenda na mke au mpenzi kwenye kumbi za starehe,ni wachache sana,kati ya 10 ni wawili hukubali kuambatana na wapenzi wao kwenye hizo kumbi mara kwa mara,wengine kama amejitahidi sana ni mara mbili kwa mwaka,ile yeye mwenyewe kila weekend bar,casino

3,Kuweka picha ya mpenzi au ya mke wake kwenye dip kwenye mitandao ya kijamii,kama anakuweka anakuweka kwa wiki moja au siku mbili halafu anaitoa ,ila ya mtoto anaweza akaiweka mwaka mzima,ili akiulizwa una mke ajibu sina ila nina mtoto

4,Hawezi kuweka picha ya mke au mpenzi kwenye wallpaper sim yake, kuna siku nilimuona mkaka ameweka wallpaper picha ya mwanamke tulikuwa tumekaa sit moja kwenye daladala ghafla akaiondoa na Mimi nilkuwa nimeishaiona kitambo,hahahahhah,basi akawa anataka kuniongelesha bahati mbaya nikashuka

5,Sim inakuwa silence,huwezi ukajua kama meseji imeingia au amepigiwa sim,unaweza ukajiuliza huyu mwanaume hana mtu ambaye anampigia sim kumbe ameiweka silence

6,Wanajifanya wako bize na mambo mengine tofauti na mapenzi

7,Safari za mikoani ni nyingi kuliko maelezo,utasikia keshokutwa naenda kigoma,mtwara,Arusha,Moshi,wiki hii naenda mwanza kumuona rafiki tuliosoma naye ana michongo

Nilichowavulia kofia wanaume wanaweza kubalance mapenzi kwa wanawake zaid ya watatu na usijue,

Wanaume roho zao wanazijua wenyewe
Hata tangu enzi za mababu, wanaume walikuwa wanaoa wanawake wengi, na wanawake huwa mnajijua kuwa mume wako siyo wako peke yako. Hafu hii ni awamu ya tano inachagizwa na usemi 'Fyatueni watoto kwa wingi' sasa huwezi kufyatua kwa mke 1 tu.
 
Hao wanaoweka sim silent bado wanajifunza kuchepuka. Simu inaita kama kawaida na meseji zinaingia kama kawaida na simu imipigwa mke au mpenzi anakuletea mwenyewe.

Wanaume akili zetu ni nyingi, kumanage mwanamke mmoja ni underutilization ya akili zetu, ni sawa na kuua nzi kwa bomu. Kama mtu unaweza kua na mahusiano na wanawake wanane at once na wote wasijue na wote unawahudumia na unawapiga miti wanaridhika, shida iko wapi?
 
Hapi zamani hapakua na wachepukaji? Maana haya 93% unaongelea mambo yanayoendana na teknolojia ya sasa?
Katika miaka ya 1980's kurudi nyuma wachepukaji walikia na tabia gani?
Tena wazee wa zamani ndo walikuwa wababe kupitiliza huwezi ukaona anaongozana na mke wake, Ila wanawake wa kizazi cha sasa hata bar anataka mwende nae sasa unajiuliza atapika saa ngapi? Je watoto atamwachia nani?
 
1,Hawapendi kuambatana na mpenzi au mke mitaani hasa muda wa mchana na huku wameshikana mikono. Na sisi wanawake tunapenda mapenzi ya hadharani,mshikane mikono ili mwanamke aonekane yeye ndo anapendwa mbele ya jamii

2,Kwenda na mke au mpenzi kwenye kumbi za starehe,ni wachache sana,kati ya 10 ni wawili hukubali kuambatana na wapenzi wao kwenye hizo kumbi mara kwa mara,wengine kama amejitahidi sana ni mara mbili kwa mwaka,ile yeye mwenyewe kila weekend bar,casino

3,Kuweka picha ya mpenzi au ya mke wake kwenye dip kwenye mitandao ya kijamii,kama anakuweka anakuweka kwa wiki moja au siku mbili halafu anaitoa ,ila ya mtoto anaweza akaiweka mwaka mzima,ili akiulizwa una mke ajibu sina ila nina mtoto

4,Hawezi kuweka picha ya mke au mpenzi kwenye wallpaper sim yake, kuna siku nilimuona mkaka ameweka wallpaper picha ya mwanamke tulikuwa tumekaa sit moja kwenye daladala ghafla akaiondoa na Mimi nilkuwa nimeishaiona kitambo,hahahahhah,basi akawa anataka kuniongelesha bahati mbaya nikashuka

5,Sim inakuwa silence,huwezi ukajua kama meseji imeingia au amepigiwa sim,unaweza ukajiuliza huyu mwanaume hana mtu ambaye anampigia sim kumbe ameiweka silence

6,Wanajifanya wako bize na mambo mengine tofauti na mapenzi

7,Safari za mikoani ni nyingi kuliko maelezo,utasikia keshokutwa naenda kigoma,mtwara,Arusha,Moshi,wiki hii naenda mwanza kumuona rafiki tuliosoma naye ana michongo

Nilichowavulia kofia wanaume wanaweza kubalance mapenzi kwa wanawake zaid ya watatu na usijue,

Wanaume roho zao wanazijua wenyewe
Na wanawake roho zenu mnazijua wenyewe.... HII HAO WANAUME WANAOCHEPUKA, WANACHEPUKA NA WANAUME WENZAO..???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom