Jiandae kuwa mke mwenza.

Jiandae kuwa mke mwenza.

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
518
Reaction score
815
Habari wakuu?naenda moja kwa moja kwenye mada.

Miaka 15 ijayo kuwa mke mwenza itakuwa kawaida sana,kwani wanawake wanazaliwa kwa wingi sana.

Kwa kila familia sasa utakuta wanawake idadi yao ni kubwa kulinganisha na wanaume wanaozaliwa.

Hivyo kuoa wanawake zaidi ya wawili itakuwa kawaida sana na istoshe wanawake wenyewe wataweza kuoa wanaume.

Hivyo idadi kubwa ya wanawake imeongezeka sana kwa sasa kutokana na takimwi za duniani.

Wanawake wote jiandaeni kisaikolojia kwa hili.
 
Mbaya zaidi wanaume wanazidi kupungua
Ikibidi kuwa mke mwenza fresh tu...dudu hainaga makombo
😂😂😂😂😂🙈
Si umesema hautaki uke wenza wewe?
Tunakoelekea tutajikuta humu duniani tumebaki wanawake tupuuuu.
 
Habari wakuu?naenda moja kwa moja kwenye mada.

Miaka 15 ijayo kuwa mke mwenza itakuwa kawaida sana,kwani wanawake wanazaliwa kwa wingi sana.

Kwa kila familia sasa utakuta wanawake idadi yao ni kubwa kulinganisha na wanaume wanaozaliwa.

Hivyo kuoa wanawake zaidi ya wawili itakuwa kawaida sana na istoshe wanawake wenyewe wataweza kuoa wanaume.

Hivyo idadi kubwa ya wanawake imeongezeka sana kwa sasa kutokana na takimwi za duniani.

Wanawake wote jiandaeni kisaikolojia kwa hili.
Unatishia nyau?
 
Kwa kasi hii waliyonayo wanaume, kweli huko mbele watabaki wanaume wachache tu. Itakuwa 1:5 na kuendelea
 
yes mvua ndio sababu
au hujanimiss
 
Habari wakuu?naenda moja kwa moja kwenye mada.

Miaka 15 ijayo kuwa mke mwenza itakuwa kawaida sana,kwani wanawake wanazaliwa kwa wingi sana.

Kwa kila familia sasa utakuta wanawake idadi yao ni kubwa kulinganisha na wanaume wanaozaliwa.

Hivyo kuoa wanawake zaidi ya wawili itakuwa kawaida sana na istoshe wanawake wenyewe wataweza kuoa wanaume.

Hivyo idadi kubwa ya wanawake imeongezeka sana kwa sasa kutokana na takimwi za duniani.

Wanawake wote jiandaeni kisaikolojia kwa hili.
Isije kuwa wazungu walitufanyia hujuma na hizo chanjo zao ili waje kututawala tena
 
Back
Top Bottom