VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 677
kikubwa siyo watu wote wanafaa kuwa marafiki hasa hasa unaodhania ama kuwachukulia kuwa ni watu wenye kujua maana ya maisha!! kikubwa siyo watu wote wnafaa kuwa marafiki wengine ni wanafiki na wazandiki wakubwa....!! hasa hasa makazini ama kwenye maofisi tabia za kuzungukana ni nyingi mno ... pia kitu ambacho nimejifunza kwa sisi binadamu ni kwamba tumezungukwa na vinasaba vya #usaliti hapa hakuna kuelezea sana maana hili la usaliti kila mtu limempata kwenye maisha yake ya hapa duniani!!
Yaani utakuta mtu uliyekuwa unamuamini na kumchukulia kama ndugu ndiyo huyohuyo atakayekuchafuachafua na kukuchonganisha haswaaa na watu wengine .... ndiyo maana hata yesu alisalitiwa na wanafunzi wake ..... funzo: usimuamini mtu