Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
Umemzalisha mpangaji wako mtoto mmoja au wawili,na baada ya kumzalisha ukaamua kumsamehe kodi ya nyumba akawa anaishi tu bure,je ikitokea mzalishaji umevuta pumzi ya mwisho, mzalishwaji atakuwa na haki ya kuendelea kuishi kwenye ile nyumba bila kulipa pango kwakuwa alizaa na marehemu mwenye nyumba?