Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aliamka asubuhi na mapema kufagia Uwanja wa nyumba. Jirani na nyumba yake akamuona mwanaume akifagia. Hakuamini. "Mwanaume, muda kama huu aamke na kufagia, oh mke wake ana raha kweli."...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za usiku wanajamvi !!!! kama kichwa kinavyo jieleza . Mimi debless nimewaza sanaa juu ya jina zuri la kumpa mtoto wa kiume .Nikajikuta na Jina hili "Bright " kichwani mwangu .Sasa nataka...
0 Reactions
32 Replies
12K Views
yule aliezaliwa kwa ajili yangu?yule tuliambiwa tutakuwa mwili mmja yule ambae ataongeza kicheko changu??yule atakaenipa bega lake nifiche machungu yangu uko wapi???
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Wadau nani saizi anapendana leo weekend naniwapi? Hivi umeshawahi kudaata na mme /mke wamtu? Nailikuwaje naomba mnijuze jamani. Je kwa wale walioshikwa naomba mnijuze pia
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Waku habari za usiku Niko naugulia Dengue hivyo leo sijatoka hapa ninapo kaa kuna mpangaji anamtoto weke wa kiume umri miaka 5 au 6 chekechea pia na mtoto wa nyumba ya jirani umri miaka 8 kavulana...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Wadau nimeamua kubaliana na hali halisi, nampenda ndio ila ngoja nitafute pesa kwanza maswala ya mahusiano niweke kapuni kwanzaa, ni mwanamke ambae nampenda sana ni mzuri sana sijawai ona...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Lengo si kuwakejeli watu hao bali ni kisa tu kama visa vingine. Kuna nyuzi za madogo wa 26> ages wamedata sana kwa single mothers. Back to the story; Nina mdogo wangu mmoja ana miaka 24, na...
8 Reactions
81 Replies
9K Views
Ukijiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na demu maskini njaa njaa ni tabu sana Kila siku anakua omba omba yani hata vocha ya jero anakuomba Nyie wadada maskini maskini ebu mjishughulishe sio...
6 Reactions
85 Replies
10K Views
Wakuu Salam, Biashara tajwa ni moja Kati chanzo kikuu cha mapato kwa dada zetu wengi na walio Warembo wamijini. Wengine mpaka wamejenga nyumba nzuri tu, na Wana drive gari kalikali mijini. Hii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za mchana waungwana. Naombeni wenye mahaba na miziki ya malavi davi mnisaidie. Kasie Napenda sana mziki na nyimbo bin kuimba, na huwa natumia sana maneno ya nyimbo kama ujumbe as...
5 Reactions
55 Replies
7K Views
Alikuwa Kipenzi cha roho yangu! Akanisaliti. Aliolewa miaka 5 iliyopita! Leo hii ananikaribisha nyumbani! Anasema mm ndio nafahamika zaidi
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wana jf nisaidieni kwa hili maana amekomalia apo tu.......
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Naitwa Joseph naishi na VVU nna miaka 32, naishi Mbeya ni mfanyabiashara, mkristo na mcha Mungu elimu yangu diploma na sina mtoto. Natafuta msichana mkristo miaka 24-28 mkristo na mcha Mungu...
3 Reactions
21 Replies
50K Views
Naomba niwajulishe nyie mabinti wa kuanzia miaka 25 na kuendelea, madogo wa miaka 18 hadi 20 wamemaliza mitihani ya kidato cha sita, wanaingia rasmi mtaani. Sasa hivi ni halali kabisa maana...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
1. Wahaya 2. Wanyiramba 3. Waha 4. Wanyaturu 5. Warangi 6. Wakara Ila ukitaka Mwanao wa Kike ( Binti yako ) na Dada yako apate Mwanaume mwema, mzuri, mkarimu, mwenye kujua Kulea na ana Mapenzi ya...
6 Reactions
91 Replies
14K Views
gereza la puchu linamateso sana yani hauishi maisha yako unayoyataka inakupangia yenyewe unakuwa mtu wa majuto afya inadhoofu ,mipango mini inaribika.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nina shemeji yangu yeye ana 39 na mchumba wake ana 22. Maneno ya watu anahisi labda ndoa yake itakua na vijambo kutokana na tofauti ya umri kwa miaka 17. Shemeji yangu ana kazi na amesoma vizuri...
11 Reactions
251 Replies
23K Views
Wadau habar za usku.? Ndg zang tuwasaidie wadada kutupia picha mbalimbali za magauni mazuri ya sendoff rangi mbalimbali maana kiukweli wanateseka sana kuhangaika mjini kutafuta maguni au vitambaa...
3 Reactions
20 Replies
16K Views
Wanaume nadhani tumeshaelewa nini nina maanisha hapa. Usije hata siku unasema unamfuatilia mwanamke hutafanikiwa hawa wenzetu wanasiri kubwa sana huwa wanaziweka moyoni. Wanaroho zaid ya chuma...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…