Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Siku hizi maisha yamebadilika yani kila kona wadada kibao. Unakuta wengine mpaka wanasubiri au wanavunja huusiano wa watu ili wapate wao.tena wakisikia unavyomsifia mwanamme wako hapo ndio umeumia...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
1. Umempata mwenza anaekidhi vigezo vyako vyovyote vile. 2. Unampenda kwa dhati mwenza wako 3. Una kipato cha kukuwezesha kulea familia 4. Moyoni kwa dhati kabisa unahisi ni wakati muafaka kuoa...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau, naona kama kuna watu wanapotosha kwa makusudi kwa faida zao. Mtu anaweza kuwa anawahi kufika kileleni lakini ana nguvu za kiume. Na kuna mtu anaweza kuwa hawahi kufika kileleni lkn hana...
1 Reactions
6 Replies
45K Views
Zamani ilikuwa ukisikia Mwaume harakati zake zote ni za kiume... Ukikua tu unajua mimi habari zangu nI, KILIMO, KUWINDA, KUCHUNGA MIFUNGO, KUPAMBANA... Yaani zana ambazo ukitembea hukosi mkononi...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Keep aside kuchutama pambana
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika maisha tutafuteni utulivu wa kiroho tutenge muda wa kupata lubrication katika ubongo tupate faraja walahu kwa kufanya mambo mazuri.lubrication Ni upendo
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Aisee hakuna wakati mgumu kama demu anapopata shida alafu akaamini wewe unaweza msaidia akakukopa wewe ukawa huna kituu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bad experience ever omba yasikukute me...
0 Reactions
75 Replies
5K Views
Kuna wanawake wanyenyekevu jaman hadi raha hata kucheat unawaza mara100 unaona kama humfanyii haki kbsa. Leo bwana nmegombana sana na bibie me ndio mwenye kosa sema kujiona nunda nkaleta ununda...
33 Reactions
157 Replies
15K Views
Wakuu habari? Leo kwny gari moja hv kulianzishwa mjadala lkn aliyeanzsha nahs aliona mazingira yanaruhusu maan kiukwel mazimgira ya safari yaliruhusu umri wa wasafiri sasa kama utani tu jamaa...
4 Reactions
43 Replies
21K Views
Na stress za biashara mno na wife ni mtu wa kelele always so nakosa faraja Nahitaj compan(sio ya kimapenz NO) ya story,kunywa(ingawa pombe situmii but we ruksa),kula But kikubwa uwe mcheshi ili...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanaume wengi "wa kiume" wanawaogopa wanawake wenye akili kuwazidi au waliowazidi kipato. Ndo maana kila siku unaskia wanaume wanalalama kwamba mwanamke akikuzidi elimu au kipato anakua jeuri...
8 Reactions
33 Replies
6K Views
Huwa najiuliza hili swali,utamu wa mwanamke uko wapi?
1 Reactions
49 Replies
13K Views
1: Usioe kwa sababu umechoka kula kwa mama lishe>>Mke sio mpishi kama umechoka kula kwa mama lishe jifunze kupika. 2: Usioe kwa sababu umechoka kufua na kupika >>Mke sio housemaid, kama umechoka...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
KWENYE benchi la ufundi la Simba kuna mtu mmoja raia wa Tunisia anayeitwa Adel Zrane. Huyu ni mtaalamu wa mazoezi ya viungo na kuweka fiti mwili. Ana leseni ya juu ya ukocha kwenye eneo hilo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani napumzika kisa nimekuwa naandika post kama nimeajiriwa humu na comment kama na pewa posho shule yenyewe masomo magumu. So najipa break nisome kwanza shule ningumu kudeal nayo na...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Kuna style nyingi za kukutana kimwili kwa binadamu, lakini asilimia 80 ya style anazotumia binadamu amecopy na kujipestia. Moja ya style alizocopy na kujipestia, ni hii ambayo ni maarufu kuliko...
3 Reactions
65 Replies
12K Views
Zipo sababu lukuki kwanini tunawapeleka watoto wetu shule za bweni ikiwa ni pamoja na kufiwa na wazazi wao, majukumu ya kusaka riziki kwa wazazi, elimu bora na zingine kadha wa kadha. Leo...
7 Reactions
13 Replies
4K Views
Nina wiki tatu tu tangu nimehamia kwenye hii nyumba, mama mwenye nyumba tunaelewana saanaa ila huyu binti yake(yuko form 4) toka nafika siku ya kwanza nilimsalimia hakuitikia ila alikua...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Have you considered a “must-do” list before putting the ring on your finger? Maybe you should, as there are things everyone needs to do before getting married. 1. Get your heart broken. Sounds...
2 Reactions
1 Replies
949 Views
Kwa wanaomfahamu huyu binti kwenye picha ni Nani eti.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom