Style ya mapenzi ambayo binadamu ameiga kwa wanyama

Style ya mapenzi ambayo binadamu ameiga kwa wanyama

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,401
Kuna style nyingi za kukutana kimwili kwa binadamu, lakini asilimia 80 ya style anazotumia binadamu amecopy na kujipestia.

Moja ya style alizocopy na kujipestia, ni hii ambayo ni maarufu kuliko zote duniani, ambayo wameiga kutoka kwa wanyama.

Wenyewe wanampa sifa mbwa kwa kuiita style ya mbwa lakini hii hufanywa na wanyama wote unaowajua wewe.

Kiufupi style pekee ya kukutana kimwili kwa binadamu wa kiume na wa kike ni wakike kulala mlalo wa mende aliyekufa na wa kiume kuja juu yake.

Zaidi ya hapo asilimia 80 ya kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume tumeiga zote.

images(2).jpg
 
Swali.

Kati ya wanyama na binadamu nani wa kwanza kuishi duniani?.

Jibu La Swali Hili Ndilo litaonyesha ni nani alie muiga mwenzie.
 
Style Ya Mbwa, Almaarufu Doggy, Inamfanya Mwanaume Aingie Deep!

Ila Sina Uelewa Kama Deep Ndio Yenyewe!

Lakini Chakula, Top Layer Ndio Tamu Zaidi!

Hata Mbege, Juu Juu Ndio Yenyewe, Chini Ni Machicha!

Sasa Mbunye Siijulii.
 
Swali.

Kati ya wanyama na binadamu nani wa kwanza kuishi duniani?.

Jibu La Swali Hili Ndilo litaonyesha ni nani alie muiga mwenzie.
Siyo lazima... Unaweza ukaanza kuishi na usijuwe vingi..
 
Style Ya Mbwa, Almaarufu Doggy, Inamfanya Mwanaume Aingie Deep!

Ila Sina Uelewa Kama Deep Ndio Yenyewe!

Lakini Chakula, Top Layer Ndio Tamu Zaidi!

Hata Mbege, Juu Juu Ndio Yenyewe, Chini Ni Machicha!

Sasa Mbunye Siijulii.
Hahahhaha....kenge kweli wewe
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hebu nicheke kidogo
 
Style Ya Mbwa, Almaarufu Doggy, Inamfanya Mwanaume Aingie Deep!

Ila Sina Uelewa Kama Deep Ndio Yenyewe!

Lakini Chakula, Top Layer Ndio Tamu Zaidi!

Hata Mbege, Juu Juu Ndio Yenyewe, Chini Ni Machicha!

Sasa Mbunye Siijulii.
Nakazia Apo kwenye mbege
 
Kama tuna-share baadhi ya genes na wanyama kama hao kwa nini isiwe tume-share gene ya styles za hayo mambo? Bipedal wengine wanafanyaje hiyo shughuli?
 
Back
Top Bottom