rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,976
Aisee hakuna wakati mgumu kama demu anapopata shida alafu akaamini wewe unaweza msaidia akakukopa wewe ukawa huna kituu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bad experience ever omba yasikukute me nilitamani mpaka kukopa ili nimpe ila nikavunga japo Baada ya hapo alikata mawasiliano na mimi nikampotezeaa...[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]