PENZI LA DADA/KAKA WA DAMU MOJA?

PENZI LA DADA/KAKA WA DAMU MOJA?

Akili Pesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
617
Reaction score
854
Wakuu habari?
Leo kwny gari moja hv kulianzishwa mjadala lkn aliyeanzsha nahs aliona mazingira yanaruhusu maan kiukwel mazimgira ya safari yaliruhusu umri wa wasafiri sasa kama utani tu jamaa akasema kiukweli yeye kuna siku aliwahi kupatwa na tatzo la kupendwa na dada yake wa kuzaliwa waliopshana kunyonya ziwa la mama yan kila akijtahid kumuepuka akawa anashindwa kutoka dada anamzid ujanja na ushawishi lkn alikuja kuokoka pale dada mtu alipopangiwa chuo chabali na kuondoka hom lkn bado aliendelea kumshawishi kupitia mawasiliano akimuambia yan Nakupenda zaid ya unavyofikiria.
Sasa kichekesho kikaja kwenye majadiliano watu waliongea mengi ila kuna mmoja aliyenifuarahisha akasema kiukweli ukiona kaka/dada yako wa toka nkutoke anakupenda na anataka ale mzigo basi ujue hyo sio dama ya baba yko ila mama alichepuka kiaina maan haiwezekan kwa dada au kaka wa du kupeana utamu.
Naomba kujua kutoka kwenu inawezekana kwa Dada au Kaka wa damu kupelekeana moto kama wapenzi kabisa??
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmoja alisema laana kubwa, lkn jamaa akasema kuwa kuna mdada mmoja alikujakuambiwa siku moja kuwa mume wake ni kaka yake wa damu lkn ameshazaa nae watoto watatu ikabid tambiko lifanywe na wakatenganishwa ila walikaaa wakatafutiwa wachumba ila ilikuw kaz bure maan bibie alikuw akipanda gari kufuata mtekenyo wa kakaake na akifka anaitendea haki kuliko akiwa kwa mumewe mpya.
Laana hiyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbezi beach kuna watoto walifiwa na Wazazi wao, wakaishi wenyewe kwenye nyumba, I think hawakua Wadogo kihivyo! Kadiri muda ulivyosogea wakaanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe! Nimesikia mahali hivyo Sina uhakika....

You are strong than what you think...
 
Mmh I'm trying to imagine having sex with my blood brother!
Bado sijapata picha kabisa.
 
Daaaah yan ni noma sana kuna ushuhuda mwingine nao ulitolewa mtu akasema yupo mzee alikuwa mkali sana kwa watoto zake alibaatika kupata mbegu nzuri na mama watoto wake wafyatua watoto wakali sana lkn tatzo likawa ni ukali wake watoto hawatoki nje wahajichanganyi wakitoka shule ndani ni kujisomea tu basi kaka yao alijkuta anawashawish wadogo wadogo zake wawili kama utani akawa anawapiga moto vyahatarii na siku moja mzee alikuja kugundua hlo akajinyonga kwa kosa alilolitengeneza yeye.

It happens sometimes Aaghh

Unajuaje kama mpenzi wako sio damu moja.?
Wakuu habari?
Leo kwny gari moja hv kulianzishwa mjadala lkn aliyeanzsha nahs aliona mazingira yanaruhusu maan kiukwel mazimgira ya safari yaliruhusu umri wa wasafiri sasa kama utani tu jamaa akasema kiukweli yeye kuna siku aliwahi kupatwa na tatzo la kupendwa na dada yake wa kuzaliwa waliopshana kunyonya ziwa la mama yan kila akijtahid kumuepuka akawa anashindwa kutoka dada anamzid ujanja na ushawishi lkn alikuja kuokoka pale dada mtu alipopangiwa chuo chabali na kuondoka hom lkn bado aliendelea kumshawishi kupitia mawasiliano akimuambia yan Nakupenda zaid ya unavyofikiria.
Sasa kichekesho kikaja kwenye majadiliano watu waliongea mengi ila kuna mmoja aliyenifuarahisha akasema kiukweli ukiona kaka/dada yako wa toka nkutoke anakupenda na anataka ale mzigo basi ujue hyo sio dama ya baba yko ila mama alichepuka kiaina maan haiwezekan kwa dada au kaka wa du kupeana utamu.
Naomba kujua kutoka kwenu inawezekana kwa Dada au Kaka wa damu kupelekeana moto kama wapenzi kabisa??
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hii ni dhambi kubwa lkn nlichoshangaa mimi baada ya kuwekwa mada yan watu walikuw free sana kuongelea hili nkajkuta mm nakuwa mgeni aiseee.
Fikiria mtu anakuambia sasa kama anataka mwenyew mm kwann nisimpe nimuokoe na magonjwa akiyapata kutokea nje huko nilisema mungu tupuuze kwa yote tunayozngumza hpa maan ni laana hii

Back
Top Bottom