Najipa likizo mi bossy wakupost

Najipa likizo mi bossy wakupost

Nipe sababu moja tu kwa nini hutaki
Wewe kama wewe umechelewa tayari kutwa na toa mabango humu nahitaji mtu huwi serious ila kaja mtu serious nahana mtoto wala mke wala wakuzugia umeona nikija mtanashati mwelewa mcha Mungu na mengi tu ndio kanikubali the way i am tena yupo maeneoa ninayoishi.
 
Sawa boss wangu wa kupost kama nimekukosa wewe sioi tenaa
 
Tupumzike na nyuzi zisizo na mbele wala nyuma
Ila ukweli kuhusu wewe kantwe unapenda masifa kujiona na pia unapondeaga wenzako kama wewe unachocomment cha maana mimi sipost ili wewe usome mimi napost ili wasome wanaoona wamaana na let me tell you something one thing maishani usiishi wanadamu wanavyotaka just ishi kama kama wewe unavyotaka.
Namaisha sio kuogopa watu nikuface watu .
Kwa hiyo wewe sio mtu wa kuniambia chakufanya kwa sababu hata hili bando hujalinunua wewe.
 
Utajiju
 
Back
Top Bottom