Nahitaji Company

Nahitaji Company

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,627
Reaction score
5,711
Na stress za biashara mno na wife ni mtu wa kelele always so nakosa faraja

Nahitaj compan(sio ya kimapenz NO) ya story,kunywa(ingawa pombe situmii but we ruksa),kula
But kikubwa uwe mcheshi ili unipigishe story mpk nisahau matatizo yangu kwa muda
Ukitaka malipo nitalipa( jinsia yoyote)
Njoo dm( niko sinza)
 
Zali limenipita hivi hii😭😭😭, mkuu huhitaji company ya kuchat pm? Nipo hapa kwa malipo nafuu
 
unatakaje kuchekeshwa na mwanaume mwenzako kiongozi...
Na stress za biashara mno na wife ni mtu wa kelele always so nakosa faraja

Nahitaj compan(sio ya kimapenz NO) ya story,kunywa(ingawa pombe situmii but we ruksa),kula
But kikubwa uwe mcheshi ili unipigishe story mpk nisahau matatizo yangu kwa muda
Ukitaka malipo nitalipa( jinsia yoyote)
Njoo dm( niko sinza)
 
kuna chanel nyingi tu youtube za kuchekesha cha muhimu uwe na mb zako tu
 
We mgonjwa. Mke uliyemuoa kwa hela zako unamkimbia?

Hiyo sio suluhu

Tatizo ni biashara au mke au vyote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom