Wadau nahitaji msaada wenu nimetingwaa

Wadau nahitaji msaada wenu nimetingwaa

bafetimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,761
Nina wiki tatu tu tangu nimehamia kwenye hii nyumba, mama mwenye nyumba tunaelewana saanaa ila huyu binti yake(yuko form 4) toka nafika siku ya kwanza nilimsalimia hakuitikia ila alikua akiniangalia angalia mara kwa mara, siku zikaenda mambo ni hayo hayo haitikii salamu yaani ana maringo ringo flani hivi kiukweli nakiri kabinti ni kazuri hatariii...nikaona sasa huyu nisiwe namsalimia tukawa tunapishana tu (dawa ya moto ni moto). Ila juzi uzalendo ukanishinda kununiana na mtoto wa kike ni dhambi kubwa sana (usinuniane na chakula) nikaona acha niact ule ujentomani wa kwenye muvi nione kama utafanya kazi, juzi narudi jioni .
 
So tukusaidie nini? Mwambie huyo jamaa kwenye avatar yako akuazime rungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Naona kama umeandika huu uzi ukiwa unafukuzana na mama mwenye nyumba baada ya kukupiga chabo nakuona ukiandika sentence humu kama za kumtaka binti yake maana ulivyomaliza unajua mwenyewe!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu malizia basi
 
Nina wiki tatu tu tangu nimehamia kwenye hii nyumba, mama mwenye nyumba tunaelewana saanaa ila huyu binti yake(yuko form 4) toka nafika siku ya kwanza nilimsalimia hakuitikia ila alikua akiniangalia angalia mara kwa mara, siku zikaenda mambo ni hayo hayo haitikii salamu yaani ana maringo ringo flani hivi kiukweli nakiri kabinti ni kazuri hatariii...nikaona sasa huyu nisiwe namsalimia tukawa tunapishana tu (dawa ya moto ni moto). Ila juzi uzalendo ukanishinda kununiana na mtoto wa kike ni dhambi kubwa sana (usinuniane na chakula) nikaona acha niact ule ujentomani wa kwenye muvi nione kama utafanya kazi, juzi narudi jioni .
Duuh we kweli 'jentomani'
 
Aisee, angalia miaka yako uliyo nayo na uongeze na 30 ya gerezani, utatoka na umri gani huko gerezani, achana na hivyo vitoto vinapenda sana kujilinganisha na dada zao. Mwogope huyo mtoto kama unavyoogopa choo cha ndotoni.
 
Nina wiki tatu tu tangu nimehamia kwenye hii nyumba, mama mwenye nyumba tunaelewana saanaa ila huyu binti yake(yuko form 4) toka nafika siku ya kwanza nilimsalimia hakuitikia ila alikua akiniangalia angalia mara kwa mara, siku zikaenda mambo ni hayo hayo haitikii salamu yaani ana maringo ringo flani hivi kiukweli nakiri kabinti ni kazuri hatariii...nikaona sasa huyu nisiwe namsalimia tukawa tunapishana tu (dawa ya moto ni moto). Ila juzi uzalendo ukanishinda kununiana na mtoto wa kike ni dhambi kubwa sana (usinuniane na chakula) nikaona acha niact ule ujentomani wa kwenye muvi nione kama utafanya kazi, juzi narudi jioni .
bando limeisha nini
 
Jentomani una ubwege flani kichwani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom