USHAURI JUU YA KUOA!

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,704
2,000
1: Usioe kwa sababu umechoka kula kwa mama lishe>>Mke sio mpishi kama umechoka kula kwa mama lishe jifunze kupika.

2: Usioe kwa sababu umechoka kufua na kupika >>Mke sio housemaid, kama umechoka kufua ajiri mtu akufulie.

3: Usioe kwa sababu rafiki zako wote wameoa >>Mke sio mashindano maana hataishi na marafiki zako wala sio zawadi kwa wazazi wako bali wewe ndiwe utakayeishi naye.

4: Usioe kwa sababu unataka kufungua kanisa sasa unatafuta mama mchungaji

5: Usioe kwa sababu wazazi wanakulazimisha maana dada zako wote wameshaolewa.

6: Usioe kwa sababu mpenzi au mchumba amepata mimba yako.

7: Usioe kwa sababu unataka kumuonyesha msichana aliyekuacha kuwa bado upo juu.

8: Usioe kwa sababu unamhurumia msichana uliyenaye ukimuacha atachanganyikiwa.

9: Usioe kwa sababu wazazi wako wanampenda na kumkubali msichana huyo.

10: Kuliko kumuoa msichana kwa kumhurumia na si kumpenda itapelekea kuteseka moyoni maisha yenu yote ni afadhali umwambie ukweli kungali mapema

11: Kuoa ili kujionyesha kuwa ume-move on baada ya kuachwa ni kujikomoa mwenyewe.

Oa ukiwa na uhakika kuwa huyo ndiye chaguo lako pekee na upo tayari kuishi naye katika hali zote, ndio mpango wa Mungu katika maisha yako na ndiye unayempenda kwa moyo wako wote.
 
Tamatheo

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,303

Maneno mazuri sana kwa vijana ila ungeongezea na..
11. Usioe kukidhi tamanio la umbo (chura, wembamba, urefu, ufupi, weupe, weusi) iko siku vyote havitaongeza thamani zaidi ya upendo wa dhati.
 
Hajulikani

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
274
250
Na pia usiache kuoa au kuolewa kwa sababu za hii thread, Oa kwasababu unampenda mpenzi wako
Oa kwa sababu unahisi moyoni uko tayari kuoa
Oa kwasababu unawweza kulea familia
1: Usioe kwa sababu umechoka kula kwa mama lishe>>Mke sio mpishi kama umechoka kula kwa mama lishe jifunze kupika.

2: Usioe kwa sababu umechoka kufua na kupika >>Mke sio housemaid, kama umechoka kufua ajiri mtu akufulie.

3: Usioe kwa sababu rafiki zako wote wameoa >>Mke sio mashindano maana hataishi na marafiki zako wala sio zawadi kwa wazazi wako bali wewe ndiwe utakayeishi naye.

4: Usioe kwa sababu unataka kufungua kanisa sasa unatafuta mama mchungaji

5: Usioe kwa sababu wazazi wanakulazimisha maana dada zako wote wameshaolewa.

6: Usioe kwa sababu mpenzi au mchumba amepata mimba yako.

7: Usioe kwa sababu unataka kumuonyesha msichana aliyekuacha kuwa bado upo juu.

8: Usioe kwa sababu unamhurumia msichana uliyenaye ukimuacha atachanganyikiwa.

9: Usioe kwa sababu wazazi wako wanampenda na kumkubali msichana huyo.

10: Kuliko kumuoa msichana kwa kumhurumia na si kumpenda itapelekea kuteseka moyoni maisha yenu yote ni afadhali umwambie ukweli kungali mapema

11: Kuoa ili kujionyesha kuwa ume-move on baada ya kuachwa ni kujikomoa mwenyewe.

Oa ukiwa na uhakika kuwa huyo ndiye chaguo lako pekee na upo tayari kuishi naye katika hali zote, ndio mpango wa Mungu katika maisha yako na ndiye unayempenda kwa moyo wako wote.
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
2,798

Ukifika umri wa kuoa/ukibalehe mwambie mzee akuchagulie mchumba kwa vigezo anavyovijua vya mke bora ,oa. Ndo tunafanya hivyo kwetu. Na ni mwiko kuacha mke kwa sababu yoyote ile. Hakuna room ya kusema unaacha mwanamke uliyekwisha ozwa na mzee. Maisha ni murua
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,704
2,000
Mimi naoa kwa sababu nimeona chura!
Kama huyo
FB_IMG_1559232087314.jpeg
 
Kenfurah

Member
Jan 23, 2019
82
150
1: Usioe kwa sababu umechoka kula kwa mama lishe>>Mke sio mpishi kama umechoka kula kwa mama lishe jifunze kupika.

2: Usioe kwa sababu umechoka kufua na kupika >>Mke sio housemaid, kama umechoka kufua ajiri mtu akufulie.

3: Usioe kwa sababu rafiki zako wote wameoa >>Mke sio mashindano maana hataishi na marafiki zako wala sio zawadi kwa wazazi wako bali wewe ndiwe utakayeishi naye.

4: Usioe kwa sababu unataka kufungua kanisa sasa unatafuta mama mchungaji

5: Usioe kwa sababu wazazi wanakulazimisha maana dada zako wote wameshaolewa.

6: Usioe kwa sababu mpenzi au mchumba amepata mimba yako.

7: Usioe kwa sababu unataka kumuonyesha msichana aliyekuacha kuwa bado upo juu.

8: Usioe kwa sababu unamhurumia msichana uliyenaye ukimuacha atachanganyikiwa.

9: Usioe kwa sababu wazazi wako wanampenda na kumkubali msichana huyo.

10: Kuliko kumuoa msichana kwa kumhurumia na si kumpenda itapelekea kuteseka moyoni maisha yenu yote ni afadhali umwambie ukweli kungali mapema

11: Kuoa ili kujionyesha kuwa ume-move on baada ya kuachwa ni kujikomoa mwenyewe.

Oa ukiwa na uhakika kuwa huyo ndiye chaguo lako pekee na upo tayari kuishi naye katika hali zote, ndio mpango wa Mungu katika maisha yako na ndiye unayempenda kwa moyo wako wote.
Sasa mbona unawakimbiza jamani?
Huenda kuna ambao wangependa kuoa wanawake kulingana na hizo hoja, wewe ushayatibua
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom