DEAR LADIES.... Kama umechoshwa na text za majamaa huko inbox/ pm / dm.
Kila ukijitahd kuwakataza Hawakuelewi Ukimblock huyu mwingine anakuja Kabla hujaanza kuja kutuambia huku basi I have a tips...
Je umeachika bila sababu???
Tunarusha mawe usikukucha kwenye bati la Ex wako, tunaku*nya pia nje ya chumba au nyumba yake kwa bei nafuu kabisa. Mikoani pia tunatuma vijana.
Ajira ngumu acha...
...Habari za mda huu... Mliopo katika ndoa na msio kuwepo katika ndoa.. Nawasalimu...
Bila kuchelewaa kabisa nianze. Moja kwa moja na mada apo juu inayosema..
Hivi kwanini wanaume huumia zaidi...
Tokea dunia iwepo binadamu aumbwe wa kwanza alishindwa kuwa jasiri mbele ya hili tunda akavunja maagano na muumba.
Hatimae wakatoka kwenye starehe .
Nakutafuta kwa jasho.
Samson alitoa siri...
Wakati nkiwa sekondari simu za mkononi zilikuwa bado hazijaenea sana,ndo kwanza zilikuwa zinaingia nchini!Njia kuu ya kukutana na msichana wako ilikuwa kwa kuandikiana barua,au mnaambiana mkutane...
Holla...
It has been ages and everyday is a new day, being in love with Dadii makes me regain my grooves....
This song says all....
We didn't build it over night....
Cause we've been strong...
Huwaga nasikia ati wasambaa wana jua sana yale mambo yetu yaleee hivi ni kweli??Pia nasikia wanajua sana kulea wanaume na kupiga hapo ndio kabisa.Naomba kuwafahamu hawa watu
Habari za Mei Mosi wakuu
Wakati fulani nilikua nafanya kazi katika kampuni moja hivi nikapewa pikipiki aina ya Yamaha kwa ajili ya kwenda nayo field na kurudisha report.
Siku moja nikaenda...
Kwa upande wangu namuamini sana mpenzi wangu sina hakika kama anachepuka kutokana na mawasiliano yetu japo tupo mbali..nipo huru kuwasiliana naye muda wowote nikitaka.....
kazi yake na yangu...
Kwaresma hiyo wapendwa, wakati wa kutafakari maisha ya hapa duniani na kumwomba Mungu atusamehe dhambi zetu.
Back to the thread..
Unakuta mwanamke kaolewa, ana mimba ya mumewe lakini bado...
Wanabodi tarehe kama ya leo miaka minne iliyopita sitaishau kwenye maisha kwani ni siku niliyofunga ndoa na mke wangu mpendwa mrs Kurunzi nakumbuka ni mwaka mmoja baada ya kuwa member kamili hapa...
Rais wetu wa vibobo amekamatwa ila tuseme kweli alikuwa anatuinspire mabaharia wa kike.
Hichi kibobo changu sijui nakufunguaje ila mpaka mwaka uishe nitakuwa na kiwanja au gari.
Mimi nashauri...
Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto kilipokea simu kutoka baba mmoja ambaye aliripoti kwamba mke wake amebakwa. Mhalifu ambaye alikuwa akiendesha gari alipaki na kuomba kujisaidia nyumbani kwao na...
Hivi inakuaje Great thinker wa JF unaingia mkataba na mtu ili uweze kupata ruhusa ya kufurahia tendo la kibaiolojia ?
Ukiamua kufurahia tendo la kibaiolojia nje na mtu uliyeingia nae mkataba eti...
Watu wengi hawajui kujichagulia marafiki wa kuendana nao, na sio marafiki tu, hata wapenzi wao pia hawajui kujichagulia
Sasa njia rahisi ya kujua ni rafiki yupi mnaendana kiukweli, au ni mpenzi...
"It was never meant for you"!
Kama ipo ipo tu, fanya jitihada lakini usilazimishe, unadhani wewe ndio utakuwa wa kwanza?? au wewe ndio utakuwa wa mwisho??
Look my brother/sister, love yourself...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.