Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Siku hizi maisha yamebadilika yani kila kona wadada kibao. Unakuta wengine mpaka wanasubiri au wanavunja huusiano wa watu ili wapate wao.tena wakisikia unavyomsifia mwanamme wako hapo ndio umeumia wanaanza uchonganishi maana umewapiku. Dada ukiwa na mwanamme wako anakupenda jifunze kutunza siri zake tena za mazuri anayokufanyia. Mabaya ropoka tu kwa rafiki ata watu