AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
Zamani ilikuwa ukisikia Mwaume harakati zake zote ni za kiume...
Ukikua tu unajua mimi habari zangu nI, KILIMO, KUWINDA, KUCHUNGA MIFUNGO, KUPAMBANA...
Yaani zana ambazo ukitembea hukosi mkononi ni KISU, PANGA, SIME, MSHALE, UPINDE NA MKUKI...
YAANI MUDA WOWOTE FITA NI FITA MURA...
Zamani baba akirudi akikukuta mtoto wake wa kiume upo umekaa na mama yako jikoni...utafukuzwa kama mbwa...MWANAUME HAKAI JIKONI NA AKINA MAMA...
Sasa hivi unaona eti vitoto vya kiume vinakata miuno...kweli jamani...ama kweli wanaume tumepungua...
Uzi tayari...