Kuna tofauti kati ya kuwahi kufika kileleni na ukosefu wa nguvu za kiume??

Hajulikani

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
273
248
Wadau, naona kama kuna watu wanapotosha kwa makusudi kwa faida zao.
Mtu anaweza kuwa anawahi kufika kileleni lakini ana nguvu za kiume.
Na kuna mtu anaweza kuwa hawahi kufika kileleni lkn hana nguvu za kutosha za kiume. Nakumbuka mara ya kwanza kutoa wazungu nilikua na miaka 14 sikua nafanya ngono na wala sikua najichua ila nilikua naangalia movie moja ya Mnet enzi hizo siku za jumamosi usiku walikua wanaweka Softcore sex movies nikajikuta natoa wazungu. Hii inaprove hakuna uhusiano wowote kati ya kuwahi kufika kileleni na nguvu za kiume.
Kuwahi kufika kileleni kunasababishwa hasa na hisia na matamanio ulionayo kwa mwanamke unaetaka kufanya nae ngono.
 
kuwahi/kuchelewa kufika kileleni, kusimama legelege vyote vinaingia kundi moja ni upungufu wa nguvu za kiume.

usifanye black kuwa yellow
 
Wadau, naona kama kuna watu wanapotosha kwa makusudi kwa faida zao.
Mtu anaweza kuwa anawahi kufika kileleni lakini ana nguvu za kiume.
Na kuna mtu anaweza kuwa hawahi kufika kileleni lkn hana nguvu za kutosha za kiume. Nakumbuka mara ya kwanza kutoa wazungu nilikua na miaka 14 sikua nafanya ngono na wala sikua najichua ila nilikua naangalia movie moja ya Mnet enzi hizo siku za jumamosi usiku walikua wanaweka Softcore sex movies nikajikuta natoa wazungu. Hii inaprove hakuna uhusiano wowote kati ya kuwahi kufika kileleni na nguvu za kiume.
Kuwahi kufika kileleni kunasababishwa hasa na hisia na matamanio ulionayo kwa mwanamke unaetaka kufanya nae ngono.
Kwani nguvu za kiume ni nini?
 
Back
Top Bottom