Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mambo vipi ndugu zangu kuna mwanamke nina date nae yapata sasa ni mwaka mmoja sasa, tatizo kila nikilala nae huwa naota ndoto za kutisha hii inamaana gani hua nalala nae mara nyingi sana kwa week...
1 Reactions
63 Replies
10K Views
Jumamosi na Jumapili ni siku za kukutana na jamii yako inayokuzunguka,ikiwezekana hata ndugu zako walioko kijijini n.k Sio kila siku kujiweka bize kutafuta ela/fedha,fedha huwa...
3 Reactions
69 Replies
3K Views
Kuna Harusi moja nimeiona imefanyika nchi Jirani tu hapo ambapo Kwanza wakati Bwana Harusi anaenda Kupeleka Mahari kwa Wakwe zake alikodi Helikopta. Siku ya Harusi yenyewe ilifanyika ndani ya Ziwa...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Kumekuwa na mkanganyiko au malumbano mbalimbali kuhusu wanandoa baada ya harusi kwenda haney moon na wakati mwingine kupelekea hadi wanandoa kuanza kununiana siku mbili tuu baada ya kufunga ndoa...
0 Reactions
37 Replies
10K Views
Kwa wale wadada ambao hutuacha na kusema sisi sio type zao na kwenda kwa wazee (sponsors) malipo ni hapa duniani, yani mkizaa mabinti zenu na wenyewe wataanza kutufuata sisi wakati huo tushakuwa...
2 Reactions
4 Replies
792 Views
Dada ukiona umemaliza ku sex na Boyfriend wako ukaona hajanywa maji au kulala usingizi mzito basi wewe jua utamu uliuacha nyumbani.
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Assalam aleikum wanazengo. mie binafsi baada ya M/Mungu kujalia ujauzito kwa mkewangu kipenzi aka cheupe wangu nilifurahi sana kwani soon nitaitwa baba fulani maana kuitwa jina moja tu...
11 Reactions
161 Replies
14K Views
Kama mnavyojua mahusiano yakiwa mapya kila mtu anajitahidi sana kuficha baadhi ya tabia zile ambazo siyo na ni kwa sababu ya kutotaka kumkela mwenza wake au asionekane mtu wa namna gani vipi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Wale tunaopenda kuomba namba za mademu,unapewa afu unapiga demu anakuuliza namba yangu umetoa wapi afu umezuiliwa kumtaja aliyekupa namba,afu demu anakuuliza umenijuaje na ww ni nani na unataka...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Wazee wenzangu,habari zenu? Nawasilisha kwenu hili angalio langu kuhusu hawa madada zetu.. Mie napenda mwanamke choclate au maji ya kunde lakini katika hilo sikuwahi kumpenda mwanamke wa sifa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwana jamvi Kuna vitu au mambo ambayo yapo juu ya uwezo wako huwezi kufanya. Kipi hicho mdau funguka... Kwa kweli Mimi kuna mawili ★kubadili dini/ dhehebu ★kufanyiwa tohara(kutairiwa) Hapo never...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Naenda moja kwa moja kwenye mada! IPO hivi mjengoni ninaishi na rafiki yangu mmoja hivi sasa kuna siku Demu wake alikuja kumtembelea akiwa na rafiki yake mmoja hivi walikaa kama dk 15 then...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
jamani jamani naombeni ushauri wenu,nina girlfriend wangu namkubali sana .ila ana tatizo cjui n nini .mara nyingi tukiwa tunafanya mapenzi anazimia.
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, kuna jamaa mmoja huko zimbabwe anaitwa Tafadzwa Fichani amejisifu kuwa amekwisha kulala na wanawake zaidi ya 1000 hadi sasa Huyu jamaa anajihusisha na biashara ya kuuza madini...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Yaani tangu nimempata huyu manzi wangu, mademu wakaliiiiiiii wamekuwa wakinifuata kila uchao, sijui kwanini nashindwa kuwakataa!!!! Najishangaa nimekuwa kaka kitombi. Hapa nahitaji LIMBWATA kali...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Naona mwanamke akivaa Pete index finger Basi kichwani anajivimbisha Sana rahisi Sana kukuua,kukupelekesha,kukutesa,kukuchuna,kukupoteza
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kylln alikuwa ana-date na mzee mengi kwa ajili ya pesa lkn alikuwa na mchepuko wake, handsome boy anaeitwa hussein, kwahiyo kylln alikuwa amempenda Hussein toka moyoni na sio mzee mengi, mzee...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Walahi nawambia,sisi wanawake tuna kajitabia fulani tulikoaminishwa kuwa kupendwa lazima upewe hela Yaani ili uonekane unapendwa akupe hela ya matumizi,huo ni ushamba Utawakuta wanawake...
12 Reactions
47 Replies
6K Views
"Imebainika kuwa wanawake wenye makalio makubwa manene walio wengi huzaa watoto wenye akili sana, na hasa pale wanapoendelea kuwanyoshesha watoto wao maziwa yao." Fat found in women's bottoms...
3 Reactions
155 Replies
40K Views
Back
Top Bottom