Kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa watoto limekuwa tatizo kubwa katika jamii yetu. Pamoja na mambo mengi yanayochangia tatizo hili, kutokuwepo kwa ushirikiano kati ya walimu na wazazi katika...
Nawasalimu katika jina la mahaba, zawadi bora kabisa kutoka kwa Mungu, ambayo shetani hayuko tayari kuikosa kwa namna yoyote ile.
Kwa wale wenye wenza, salaam na ziwaendee viazi mbatata wenu...
Cheka na mwenzio uongeze siku za kuishi...
Uko kazini umekasirika/kununa
uko nyumbani umekasirika/kununa
Uko kwenye mambo ya biashara umekasirika/umenuna
Unasalimiwa uitikii unajifanya...
Nyie wanawake ukitaka kujua Hali halisi ya mwenendo wa mumeo, kama ni husband material ama laa angalia kwenye simu yake kama Unakuta singeli tu na bongo fleva ama hipap jiandae kisaikolojia...
Naona hawanitakii mema lengo lao ni kuona mr Zero IQ nimefunga kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi,
Kuanzia leo nimefunga PM yangu nimechoka kusumbuliwa na mademu wa JF.
Cc Zero IQ.
Katika mahojiano yangu na wanaume mbali mbali ambao bado hawajoa pamoja na mimi, Asilimia 98% wanadai ya kuwa, Msichana ambaye anakunywa bia(pombe ya aina yoyote) na uvutaji wa singara wana nafasi...
Kwa hapa dunia ilipofikia kila MTU ktk ndoa Analia na kulalamika Mara usaliti,Mara sitoshelezwi ktk tendo LA ndoa,na changamoto nyingine.
Ukweli ni kwamba ukitulia na mke wako au mumeo na...
niko na rafiki yangu wa kike ameolewa na ndoa yake ina mwaka amegundua mumewe anauza unga
Anaomba Ushauri wana mtoto mmoja mume anataka wazae watoto wengine haraka mke kwa hofu ya kazi ya jamaa...
Habarini wana jamii forum.
Hivi karibuni nimekuwa Kila nikiingia jukwaa la MMU nakutana na uzi za malalamiko ya ndoa,mada zingine za ukakasi,majibu ya ukakasi ilmrad tafran.
Swali ni je ni kweli...
Kiafrika kuishi extended family ni jambo la kawaida tu kwahiyo unaweza kuishi na baadhi ya ndugu zako kwako au kuna baadhi wanaishi makwao hata baada ya kuoa.
Lakini kama mjuavyo kuna baadhi ya...
Kwa wale wenye watoto nadhani mtanielewa, kiukweli amani ya moyo huwa inatoweka kabisa pale inapotokea mtoto wa kwanza hasa hasa akiwa wa kiume akifanana na mama yake,
Hua tunaumia sana sema hua...
Wapendwa habari, nimeoa na bahati nzuri mke ni mjamzito kwa sasa, tatizo ni kuwa toka kawa mjamzito amekuwa kila akiingia jikoni anatapika, hivo ikabidi nimuweke sub, kidume nikaanza kuingia...
unagombana na mpenzi wako inafika hatua mnaachana na kisha unamuomba akusamehe pale ulipo mkwaza na kuomba mrudiane lakini yeye anasema amekusamehe lakini hawezi kuwa na wewe tena kwenye...
Habari ya wikendi wakuu.
Najua kuna watu watakuja na hoja za kujikubali jinsi ulivyo na tamthilia za kukosoa uumbaji lakini ndio hao hao wenye minywele, mikalio na mikucha feki.
Kwa wale ambao...
Nina mdogo wangu wa kike bahati mbaya tuko wawili tu wazazi walishatangulia sasa huyu mdogo wangu kumbe alipata mimba na kwa kuniogopa alijaribu kuitoa hiyo mimba sasa kama week moja hivi imepita...
Kwa kupitia muonekano mpya wa JamiiForums tumewaona kwa urahisi vinara wa kupost JamiiForums. Hawa watu kwa kweli wanahitaji pongezi especially super woman bibi yetu @FaizaFoxy
Pia Nyani Ngabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.