Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Kwa wale wadada ambao hutuacha na kusema sisi sio type zao na kwenda kwa wazee (sponsors) malipo ni hapa duniani, yani mkizaa mabinti zenu na wenyewe wataanza kutufuata sisi wakati huo tushakuwa wakubwa kama baba zao. Kwa hiyo…