Mkuu bila Shaka wewe nimember mpya maana hata ku reply mtu ujuiNaona umefurah sana vp ulisha kutana na hii
Hapo sawa mkuuDuhh ni mpya ila nimepitiwa
Nilishakutana nayo mkuuNaona umefurah sana vp ulisha kutana na hii
Sio wote, ila kumbuka hakuna anae ichukia pesa.Baada ya kuipata ungetuma hata elf 10 kwa m-pesa,, baadae uifanye umekosea namba akurudishie,, akishindwa kurudisha basi jiongeze mzee baba,,
Kumbuka mwanamke hakatai pesa,,
Uko sahihi,, ila hapa ni ile njia ya kumnusuru aliyetoa namba awe safe,,,Sio wote, ila kumbuka hakuna anae ichukia pesa.
HahahahDuh hili nalo jibu
Wakati nikiwa bado mwanafunzi/bachela,nikipata namba nilikuwa natuma meseji kama nimekosea,nitatuma meseji nyingi kama kulalamikia uhusiano wangu......asipojibu najaribu kupiga,akisema nimekosea namba ndio najaribu kuanzisha mahusiano ya kawaida baadaye mengine yanaendelea.
Ndio hivyo mkuu..ukipiga kienyeji tu lazima ukutane na maswali magumuMwanaume huwa hashindwi kitu aisee