Aisee kuna mambo mengi sio sifa njema aisee tujitathimini

ajent45

Senior Member
Mar 20, 2017
158
162
Habari zenu wadau, kuna jamaa mmoja huko zimbabwe anaitwa Tafadzwa Fichani amejisifu kuwa amekwisha kulala na wanawake zaidi ya 1000 hadi sasa
Huyu jamaa anajihusisha na biashara ya kuuza madini katika eneo la Zenda huko Zimbabwe kutokana na biashara yake amekuwa akiwatumia wanawake kama anakavyo kimapenzi
Hivi tabia hii ya kubadili wanawake na kujihusisha hivi kingono inafaida yeyote?, kuna tuzo zozote hutolewa? kuna rekodi zozote huwekwa ili kuifunza jamii ?
Haya mambo hayafai kwani hadi kuupata ukimwi jamaa kaona ni jambo la kawaida kwake tuachane na hizi sifa za kijinga.
source:BBC
_107387421_5d2f5a6b-f758-41bd-9b9c-a7cbdb032906.jpg
 
Kila siku nachapa 1,nikipunguza sana kwa wiki napiga 4,mara siku 365 kwa miaka 8 niliyoanza kuwamenya utapata hesabu yako hapo mkuu
 
wiki 1 = wanawake 4
mwaka 1 = wiki 52 x 4
mwaka 1 = wanawake 208
miaka 8 = wanawake 208 x 8
miaka 8 = wanawake 1664
Kadirio la chini unapiga 1664, dah aisee pole ndugu mrudie Mungu uokoke unaweza badilika ukawa kiumbe kipya.
 
Hakika mkuu ngoja niokoke tu lakini je nitaweza na hizo update za wanawake za kila siku
 
Huyo uzeeni lazima ajute !! Hakuna namna .
 
Ukifikisha umri fulani tamaa na nguvu huisha kabisa . Mimi ni shahidi
Nguvu zangu sijakopa sehemu Ni natural power hivyo siwazi kuhusu kupungua kwake ndio kwanza niko na 25+ mpka nifike 35 at list nitakuwa nimewamenya karibu na collage 4 za pale UDSM
 
Hakika mkuu ngoja niokoke tu lakini je nitaweza na hizo update za wanawake za kila siku
utaweza kwani utabadili lifestyle uliyonayo sasa na priority zako zitabadilika badala ya kwenda club, baa na guesthouse utakwenda kanisani kufanya ibada, kusikiliza neno na maombi yatakusaidia mkuu
 
Habari zenu wadau, kuna jamaa mmoja huko zimbabwe anaitwa Tafadzwa Fichani amejisifu kuwa amekwisha kulala na wanawake zaidi ya 1000 hadi sasa
Huyu jamaa anajihusisha na biashara ya kuuza madini katika eneo la Zenda huko Zimbabwe kutokana na biashara yake amekuwa akiwatumia wanawake kama anakavyo kimapenzi
Hivi tabia hii ya kubadili wanawake na kujihusisha hivi kingono inafaida yeyote?, kuna tuzo zozote hutolewa? kuna rekodi zozote huwekwa ili kuifunza jamii ?
Haya mambo hayafai kwani hadi kuupata ukimwi jamaa kaona ni jambo la kawaida kwake tuachane na hizi sifa za kijinga.
source:BBC
View attachment 1128064
Bado hajavunja rekodi ya wengi
 
Back
Top Bottom