Huyu mwanamke kanifanya nikose pozi!

Huyu mwanamke kanifanya nikose pozi!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Naenda moja kwa moja kwenye mada!
IPO hivi mjengoni ninaishi na rafiki yangu mmoja hivi sasa kuna siku Demu wake alikuja kumtembelea akiwa na rafiki yake mmoja hivi walikaa kama dk 15 then wakasepa ilikuwa mida ya usiku hivi sasa yapita mwezi mmoja!
Kumbe yule Demu alitokea kuvutiwa na Mimi sasa ikawa ngumu kumwelezea rafiki yangu,sasa Leo sijui imekuwaje akajikaza akamuomba rafiki yangu namba yangu then akanitafuta WhatsApp kama vile kunisalimia na kunikumbusha aliniona siku Fulani hapa mjengoni na story mbili tatu za uongo na kweli!
Sasa hapa nashindwa kumuuliza umeomba namba yangu ya nini!nisije kuonekana mvulana!,pia kumtongoza nashindwa nisije nikaonekana na tamaa za fisi!
Kiukweli Nina tamaa za mwendo kasi za kugegeda kila anayeingia anga zangu sasa kwa huyu anaonekana kabisa amemaindi flag ila hataweza kuniambia ukweli!
Njooni tupeana mbinu za kistaarabu team kiumeni
 
Kama unataka umcharaze,tafuta lodge executive..mtumie usafiri akufuate huko uliko,mambo mengine utamalizia.
 
Eti mwanaume unamuuliza mwanamke ameomna namba yako ya nini????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Embu fanya kutiliza mshono upigwe sound Mkuu... Ila wanawake wametuzidi uwezo wa kutongoza aseehh ila kama amekuelewa yani automatic tu unajikuta huwezi kuchomoa
 
Mkuu huyo wala usijisumbue kumtongoza, cha muhimu we msifiesifie tu mtajikuta wenyewe mmeshakulana.
Hapo mbuzi kajifia mwenyewe kwa muuza supu kilichobaki ni kuwalisha kibudu tu wateja wake.
 
Back
Top Bottom