Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,142
- 166,071
Yaani tangu nimempata huyu manzi wangu, mademu wakaliiiiiiii wamekuwa wakinifuata kila uchao, sijui kwanini nashindwa kuwakataa!!!!
Najishangaa nimekuwa kaka kitombi.
Hapa nahitaji LIMBWATA kali la kunifanya nisichepuke, maana huyu mrembo nampenda sana na kila nikichepuka naumia sana roho .
Najishangaa nimekuwa kaka kitombi.
Hapa nahitaji LIMBWATA kali la kunifanya nisichepuke, maana huyu mrembo nampenda sana na kila nikichepuka naumia sana roho .