Tutembeleane

Tutembeleane

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,939
Reaction score
61,733
Jumamosi na Jumapili ni siku za kukutana na jamii yako inayokuzunguka,ikiwezekana hata ndugu zako walioko kijijini n.k Sio kila siku kujiweka bize kutafuta ela/fedha,fedha huwa hazijai....kuwatembelea jamii inayotuzunguka ni kuonyesha ukomavu wa kiumri pamoja na hekima.Do it...!
 
sawa karibu Iringa

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
karibu kule
Jumamosi na Jumapili ni siku za kukutana na jamii yako inayokuzunguka,ikiwezekana hata ndugu zako walioko kijijini n.k Sio kila siku kujiweka bize kutafuta ela/fedha,fedha huwa hazijai....kuwatembelea jamii inayotuzunguka ni kuonyesha ukomavu wa kiumri pamoja na hekima.Do it...!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sikuamini, nipigie picha hiyo faida kwanza ndio nikuruhusu uje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo nakuja na faida wifi.
 
Back
Top Bottom