Je mjini hapa kuna trend ya wadada weupe kupenda wanaume weusi?

coockie monster

JF-Expert Member
May 2, 2015
357
669
Wazee wenzangu,habari zenu?

Nawasilisha kwenu hili angalio langu kuhusu hawa madada zetu..

Mie napenda mwanamke choclate au maji ya kunde lakini katika hilo sikuwahi kumpenda mwanamke wa sifa hii na yeye akanipenda mara zote hua nafeli.

Na mara zote wanawake ambao natokea kua na mahusiano nao wanakua weupe tena wao ndio huvutiwa na mimi zaidi..

Je kuna siri gani hapo?kwann sipendwi na wanawake weusi?na utakuta huyo mweusi mybe ex wake alikua mweusi kama mimi.na kwanini wanawake weupe tu ndo hua wananielewa?
 
Back
Top Bottom