handsometz
Member
- Jun 14, 2019
- 49
- 24
jamani jamani naombeni ushauri wenu,nina girlfriend wangu namkubali sana .ila ana tatizo cjui n nini .mara nyingi tukiwa tunafanya mapenzi anazimia.
Achana naejamani jamani naombeni ushauri wenu,nina girlfriend wangu namkubali sana .ila ana tatizo cjui n nini .mara nyingi tukiwa tunafanya mapenzi anazimia.
Achana nae
Hakufai huyu
Ata ukija kumuoa atakutesa tuu utaacha kutafuta hela utahangaika nae hospitali
NB Dalili ya mvua ni Mawingu
niliwah kufkria ,ila kuna siku nlimuulizaga kuhusu Hali yake anadai familia yao weng ndo walivyoUshajiuliza kwa nn mkianza tu kufanya mapenzi na sio mkiwa mmekaa tu mnapiga stry
Huu sio ubinaadamuAchana nae
Hakufai huyu
Ata ukija kumuoa atakutesa tuu utaacha kutafuta hela utahangaika nae hospitali
NB Dalili ya mvua ni Mawingu
katkat ya sexJe anazimia mnapoanza2 au mkifikia kwenye hatua gani katika sex
mara ya mwisho alipozimia ulifanya nini?jamani jamani naombeni ushauri wenu,nina girlfriend wangu namkubali sana .ila ana tatizo cjui n nini .mara nyingi tukiwa tunafanya mapenzi anazimia.
daaaa ila sio ugonjwa ni hali inayomtokeaga tu.nasema ivo kwa sbb nmenpeleka hospital nying lkn as ilimia kubwa walinambia hana shda yyteHuu sio ubinaadamu
Kwa hiyo wagonjwa hawana haki ya kupendwa?
ajihangaikie tatizo lake ndo arudi kwenye mahusiano asije siku akazima moja kwa moja akaandika historia aendako akumbuke kusex sio hitaji la msingi kwa binadamuHuu sio ubinaadamu
Kwa hiyo wagonjwa hawana haki ya kupendwa?
mara ya mwisho alipozimia ulifanya nini?
Hayaajihangaikie tatizo lake ndo arudi kwenye mahusiano asije siku akazima moja kwa moja akaandika historia aendako akumbuke kusex sio hitaji la msingi kwa binadamu
ulimuuliza anatatizo la presa ? au moyo? au kuna jambo/mkasa/tatizo liliwahi mkuta katika maisha yake huko nyuma?nlimpeleka seblen nkafungua madrisha yote nkaanza kumpepea kwa kutumia kanga alokuja nayo kama msaada wa Kwanza.baada kama dk 4 to 5 akaznduka akiwa mnyonge sana.nkampa maji akanywa then nkamlaza kwa sofa akatulia
jamani jamani naombeni ushauri wenu,nina girlfriend wangu namkubali sana .ila ana tatizo cjui n nini .mara nyingi tukiwa tunafanya mapenzi anazimia.
ni hitaji la msingi mkuu labda tu ungesema lisiwe addictive tuajihangaikie tatizo lake ndo arudi kwenye mahusiano asije siku akazima moja kwa moja akaandika historia aendako akumbuke kusex sio hitaji la msingi kwa binadamu
Jichunguze mkuu, yawezekana unajiona kawaida na kumbe umejaaliwa dhakar hadi inaonekana kama kilema...tehjamani jamani naombeni ushauri wenu,nina girlfriend wangu namkubali sana .ila ana tatizo cjui n nini .mara nyingi tukiwa tunafanya mapenzi anazimia.
Hii niliwahi kuuliza inasababishwa na nini?
Brother, nakushauri umuache tu maana ipo siku utapata kesi ya mauaji.
Hata mimi nilimuacha gf wangu niliyempenda sana. Ila sikumwambia sababu ya kumuacha.
Cc@Mshana Jr
(Niliwahi kukuuliza chanzo cha tatizo hili)
Jichunguze mkuu, yawezekana unajiona kawaida na kumbe umejaaliwa dhakar hadi inaonekana kama kilema...teh
mahitaji ya msingi ya binadamu ni kula, kuvaa, kupata pa kulala na kuwasiliana na binadamu wenzako.ni hitaji la msingi mkuu labda tu ungesema lisiwe addictive tu