Michepuko yangu yote nawasalimia hapa

Michepuko yangu yote nawasalimia hapa

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Karibia mademu zangu wote nianodate nao wana smatphone,
Nina imani kabisa kati yao basi kuna ambao wanatumia JF kwa sababu nilishawahi ona Apps ya jamii forum kwa baadhi yao kwenye simu zao, sema tu sikutaka kufatilia sana,

"mimi sio mmoja kati ya wanaume wanaopenda kushika shika simu za mademu, nimeshajicomit kabisa siwezi kupekua simu za wanawake ninaodate nao"


Leo nimekuja tu kuwapa salamu hao michepuko wangu,
Nawashukuru sana kiukweli mnanipa mapenzi matamu na mnanijari sana,

Kongole kwa mchepuko wangu Sarah wa kule Area D, kiukweli umeniweza ukiendelea hivi hivi naweza kujifikiria kukupandisha cheo huwe mke wangu japo niliapa kamwe sitooa hivi karibuni.

Asanteni sana


Cc Zero IQ.
 
Sara ukuje huku kupokea shukrani zako cjui ulimramba nam kund...u maana umepanda cheo gafla
 
Back
Top Bottom