Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Enzi zile tuko shule ya up ili tulishaanza kuwinda wasomi. Sasa nina best yangu yeye alimpata mkaka wa SUA na mwingine yuko UDSM.
Yule wa SUA alikuwa mpenda kitabu sana, mtu makini, yaani husband material. Huyu wa UDSM alikuwa anamstua best na vi hela vya saloon, disco na kula chips.
Dunia hii, ilitokea huyu wa UDSM alikwenda field Morogoro, katika harakati mwenyeji wake alimfahamisha kuwa ana rafiki anaenda kumcheki kwenye halls za SUA. Walikwenda pamoja. Kufika kule mkaka wa UDSM anaona picha ya best ukutani.
Aliuliza unamfahamu vipi huyu binti? Mkaka alititirika kuwa ana mpango wa kumfahamisha nyumbani. Basi yule kaka wa UDSM alimchana bwana kuwa huyu sisi tunapiga na kusepa wewe unataka kuoa?
Kilochofuata wote walimwaga shost.