Kuimarisha uhusiano

Kuimarisha uhusiano

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,924
Reaction score
61,686
Ijumaa nyingine tena hiyo...mchukue mwenzako angalau mkapate moja baridi.Haijalishi kipato ni kidogo au kikubwa ata nyuma ya nyumba yako unaweza kumtoa out na kuteta naye maneno mawili matatu,huku mkikumbushiana jinsi mlivyokutana katika ujana wenu hadi hivi leo uko naye.Inasaidia sana afya ya uhusiano.
 
Hapa ngoja nipitie hata ka wine kabei rahisi tukakae kibarazani maana kutoka muda huu naona nimechelewa
 
Back
Top Bottom