Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.
Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana Jf.
Wanaume wote tuko hivo ondoa wasiwasi....kikubwa punguza tamaa
 
Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.
Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana Jf.

Punguza tamaa!
 
Wewe una umri gani na ratiba zako za kila siku zipoje?
Huwa unakwenda kazini asubuh na kurud jioni Kama wafanyavyo wengine au huwa unashinda nyumbani muda mwingi?
Tuanzie hapo kwanza kabla ya kukupa ushaur
 
Wanaume tulivyoumbwa ni kuwa tunavutiwa na uumbwaji wa wanawake,ndivyo tulivyoumbwa na sio wanaume wenzetu,sasa cha muhimu ni kujiepusha na hisia zinazokufanya utamani hao wanawake kwani mwishowe katika huko kuvutiwa kinachofuata ni kutamani na hiyo ni dhambi mbele za Mungu...
 
Back
Top Bottom