Huyu ndiye mwanamke anayeumiza watu hovyo

buzitata

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
1,997
7,068
Habarin wanna jamvi

Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja

Kila mwanaume anaumizwa na mapenzi ila tunatofautiana ukubwa wa maumivu. Maumivu hayo tunaweza kusema ni ubatizo wa Moto yaani hautokei Mara kwa Mara na ukiona unaumizwa kila mara ujue una kasoro.

Kuna wanawake ni wajanja na werevu Sana. Anaweza akakuongopea upo peke yako ila ukwel ukawa ni kinyume chake yaani mpo wengi amewapanga vizuri kwenye k* yake na wala hamgusani wala kusumbuana kila mmoja anapiga kwa wakati wake

My point is. USIKUBALI KUAMINI MANENO YA MWANAMKE HASA YALE ANAYOSEMA YANATOKA KWENYE MOYO WAKE,. Narudia Tena USIAMINI.

Naomba nisisitize Tena HATA UKIONA MWANAMKE ANAKUTOLEA MACHOZI USIMUAMINIIII, Hawa viumbe ni wajanja Sana yani anaweza akajiliza kwako au akaoneSha anawivu Sana na wewe ila ukweli wa Mambo ni anasubiri uondoke tu.

Narudia Tena USIMUAMINI MWANAMKE. hawa viumbe anaweza akajifanya hataki chochote kutoka kwako ila ujue huo no mtego tu wa kukukamata na akishakukamata hapo kutoka kwake sio bure lazima UTOKE NA MAUMIVU yaani haiwez kuwa kirahisi tu.

Wanaume wenzangu hasa wale ambao hamjaoa hata Kama unashinda na Dem 24h ila nakushaur USIJIPE MOYO KWAMBA UPO PEKE YAKO Hawa viumbe ni wajanja Sana kwenye kucheza na akili za wanaume hasa akiwa na wapenz Zaid ya mmoja.

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE, na waswahili wanasema mwenzio akinyolewa?? Ubatizo wa Moto upo tu iwe kwa kujitakia au kwa kulazimishwa.
Leo nimewaasa ndugu zangu Yale yalonitokea miaka kadhaa nyuma

Buzitata halichunwi hata kwa limbwata la kitanga.
 
Ambao ni senior bachelor vipi hu uzi unstuhusu tulio umizwa njee ya mshusiano tukaya acha ya pite
 
Habarin wanna jamvi

Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja

Kill mwanaume anaumizwa na mapenzi ila tunatofautiana ukubwa wa maumivu. Maumivu hayo tunaweza kusema ni ubatizo wa Moto yaan hautokei Mara kwa Mara na ukiona unaumizwa Kila Mara ujue unakasoro.

Kuna wanawake ni wajanja na werevu Sana. Anaweza akakuongopea upo peke yako ila ukwel ukawa ni kinyume chake yaan mpo wengi amewapanga vizuri kwenye k* yake na Wala hamgusani Wala kusumbuana Kila mmoja anapiga kwa wakati wake

My point is. USIKUBALI KUAMINI MANENO YA MWANAMKE HASA YALE ANAYOSEMA YANATOKA KWENYE MOYO WAKE,. Narudia Tena USIAMINI.

Naomba nisisitize Tena HATA UKIONA MWANAMKE ANAKUTOLEA MACHOZI USIMUAMINIIII, Hawa viumbe ni wajanja Sana yani anaweza akajiliza kwako au akaoneSha anawivu Sana na wewe ila ukweli wa Mambo ni anasubiri uondoke tu.

Narudia Tena USIMUAMINI MWANAMKE✍. hawa viumbe anaweza akajifanya hataki chochote kutoka kwako ila ujue huo no mtego tu wa kukukamata na akishakukamata hapo kutoka kwake sio bure lazima UTOKE NA MAUMIVU yaani haiwez kuwa kirahisi tu.

Wanaume wenzangu hasa wale ambao hamjaoa hata Kama unashinda na Dem 24h ila nakushaur USIJIPE MOYO KWAMBA UPO PEKE YAKO Hawa viumbe ni wajanja Sana kwenye kucheza na akili za wanaume hasa akiwa na wapenz Zaid ya mmoja.

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE, na waswahili wanasema mwenzio akinyolewa?? Ubatizo wa Moto upo tu iwe kwa kujitakia au kwa kulazimishwa.
Leo nimewaasa ndugu zangu Yale yalonitokea miaka kadhaa nyuma

Buzitata halichunwi hata kwa limbwata la kitanga.
comrade , maneno yako yamenibariki sana
 
Back
Top Bottom